Cool Senior Member Joined Aug 5, 2009 Posts 114 Reaction score 57 Mar 1, 2011 #2 Eh! Jamani huu uwanja upo wapi? Mkoa gani?
Buswelu JF-Expert Member Joined Aug 16, 2007 Posts 1,998 Reaction score 359 Mar 1, 2011 #3 Nafikiri anamuuliza driver hilo ni nini....utakuta hata fire extinguisher haina pouder ndani.....wala halina maji...likiwaka watabaki kuwa mashahidi.
Nafikiri anamuuliza driver hilo ni nini....utakuta hata fire extinguisher haina pouder ndani.....wala halina maji...likiwaka watabaki kuwa mashahidi.
Mchaga JF-Expert Member Joined Apr 11, 2008 Posts 1,377 Reaction score 209 Mar 1, 2011 #4 Hatuko serious hili Taifa
TheChoji JF-Expert Member Joined Apr 14, 2009 Posts 6,711 Reaction score 20,721 Mar 1, 2011 #5 Mbona mi sioni hiyo fire brigade? Hayo maji yaliyoko hapo kwene hako ka pick up yanatosha hata kuzima jiko la mkaa kweli? Ukitokea moto, hao watakua wa kwanza kuungua!
Mbona mi sioni hiyo fire brigade? Hayo maji yaliyoko hapo kwene hako ka pick up yanatosha hata kuzima jiko la mkaa kweli? Ukitokea moto, hao watakua wa kwanza kuungua!
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,994 Reaction score 5,233 Mar 1, 2011 Thread starter #6 Cool said: Eh! Jamani huu uwanja upo wapi? Mkoa gani? Click to expand... Huo ni uwanja wa ndege wa Nduli mkoani Iringa.
Cool said: Eh! Jamani huu uwanja upo wapi? Mkoa gani? Click to expand... Huo ni uwanja wa ndege wa Nduli mkoani Iringa.