Isije kuwa mhemko wa mwandishi ana kutokuwa chimba walalamika sawa sawa!
Kuna kufanya Kazi siku ya sikukuu na kujiingizia mara mbili ya malipo ya kiwango cha siku cha Mshahara husika.
Kuna kutokufanya Kazi siku ya sikukuu na hivyo mshahara kubaki kama kawaida!
Sasa isije kuwa hawa ambao hawakufika Kazini 26/12/2015 baada ya kukosa hiyo ziada ya malipo kama wenzao 20 waliofika kazini sasa wameligeuza kuwa wamekatwa Mshahara!
Kama wanalipwa 80.000/= kwa Mwezi kwa maana hiyo kwa siku walikuwa wanastahili = 3.076.9tsh/=
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.