50% off shopping

50% off shopping

Muweka tangzo nimepnda bei zako na product zako pia!ila cjakuelewa hata kidogo duka len lipo wap au tunaorder on line
 
Sasa sis wengne ni waoga kwa hz bisness za online kama upo serious nidirect duka len lipo wap kwa hapa dar nije mwenyew kufanya shoping?
  • Hii ni online store, kama ilivyo kwa ebay au amazon
  • Haipo hapa Dar es salaam.
  • Haya ni mambo ya Alibaba.com Hong Kong
 
nimependa vitu hata bei pia......shipping inakuwaje mkuu

hizo discount inaisha lini kuna something I need to order
 
nimependa vitu hata bei pia......shipping inakuwaje mkuu

hizo discount inaisha lini kuna something I need to order

Hio ni platform kama ilivyo Ebay au tuseme kama ilivyo Kariakoo; hapo kuna wauzaji wengi tofauti tofauti cha kufanya wewe kile unachokitaka ongea na anayeuza na mtapataka shipment kutokana na sehemu uliopo au choice yako ya shipment ya bei rahisi
 
  • Hii ni online store, kama ilivyo kwa ebay au amazon
  • Haipo hapa Dar es salaam.
  • Haya ni mambo ya Alibaba.com Hong Kong

Ingawa Alibaba ni kampuni ya China (main offices) lakini sellers wanaotumia hii platform ni watu wowote ambao wapo kila sehemu duniani, hata wewe ukitaka leo unaweza ukafungua AliExpress Store
 
Hio ni platform kama ilivyo Ebay au tuseme kama ilivyo Kariakoo; hapo kuna wauzaji wengi tofauti tofauti cha kufanya wewe kile unachokitaka ongea na anayeuza na mtapataka shipment kutokana na sehemu uliopo au choice yako ya shipment ya bei rahisi

thank you nimeshajua sasa.....its free shipping
 
Ingawa Alibaba ni kampuni ya China (main offices) lakini sellers wanaotumia hii platform ni watu wowote ambao wapo kila sehemu duniani, hata wewe ukitaka leo unaweza ukafungua AliExpress Store
  • Yap upo sahihi. Na kwa sasa mchakato ninaofanya ni kutumia haya masoko mawili AMAZON na EBAY
 
thank you nimeshajua sasa.....its free shipping
In fact there is really nothing like free shipping, hapa huwa wajanja wanafanya wakisema free shipping either bei ya kitu wanaongeza ili ku-cover bei ya bidhaa.., au kwa sehemu ambapo wanaagiza sana vitu kama USA au Europe wanaweza wakafanya free shipping sababu kinachofanyika ni kwamba bidhaa za watu kama mia moja wanazisafirisha kwa pamoja (hapa wanapata discount kwenye shipping) alafu mzigo ukifika destination wanaugawa kulinganisha na mtu mpaka mtu..

Sasa tuseme wewe upo Tanzania wanunuzi huku ni mmoja mmoja sana na bei tu ya shipping labda DHL kwa kuanzia lets say a few kgs ni kwenye 37usd (ukisafirisha mzigo mzito zaidi na bei per unit zinapungua) sasa unadhani ni nani ata-cover hiyo 37usd ? Either wakusanye watu kumi kama wewe ili wapate discount kwenye shipping au waongeze hiyo 37usd kwenye bei ya vitu
 
duh na mbona inatake muda kufika ie 15 to 60 days huwa hivi kote.......

asante for the info umenifungua macho
 
duh na mbona inatake muda kufika ie 15 to 60 days huwa hivi kote.......

asante for the info umenifungua macho
Inatumia usafiri gani kama ni Post Office (sababu ya uzembe na mambo kama hayo inaweza ikachelewa) kama ni DHL itachukua 4 to 5 working days kufika na baada ya hapo kutoka itategemea customs clearance (kama kuna kodi ya aina fulani) ila kama wiki tu utaipata.., kwa mzigo mdogo mara nyingi njia wanatumia door to door (the likes of DHL, FEDEX UPS n.k.) au Post Office.., kama mzigo ungekuwa mzito sana kutumia air cargo au Sea(kwa meli) ndio inakuwa cheaper air cargo ni haraka tu sababu ni ndege, meli inachukua kama mwezi na hizi zote kuzinfanyia clearing lazima utumie clearing and forwarding agent.

Kwa vile inachukua muda nina-assume hawa watu wanangojea mpaka mizigo ifike fike mingi ili waitume kwa pamoja (ili wapate nafuu kwenye shipping) ambayo wenyewe wanaita free..., Ila kama nilivyosema hapo juu Alibaba ni platform yenye sellers wengi sana ongea na seller mwenyewe wa kitu unachokitaka ili upate uhakika (na kwa uzoefu wangu huyo seller atakwambia Africa/ Tanzania free shipping does not apply itabidi uongezee pesa ya shipping mwenyewe na kwa dhl kama ni kilo moja inaweza ikawa ni 37usd na kama ni zaidi ya kilo 10 au 21 kila kilo inaweza kusimamia kwenye 12usd
 
  • Yap upo sahihi. Na kwa sasa mchakato ninaofanya ni kutumia haya masoko mawili AMAZON na EBAY
Unless utakuwa unauza digital products (ambazo haziitaji shipping) au unauza bidhaa ambazo pengine hazipo (nchi nyingine) au soko lako kubwa ni Africa au within Tanzania au products zako ni ndogo sana na hazina uzito, au utakuwa na stock nje (tuseme America au Europe) au utakuwa unauza vitu vya gharama mfano Diamonds/Tanzanite earings and the likes; competition itakuwa ngumu sana na products zako itabidi uziuze bei rahisi sana sababu shipping kwako itakuwa ni gharama sana.., yaani kwa mtu kununua bidhaa zako hata kama ni bei rahisi lakini atatakiwa kutoa pesa ndefu for shipping (unless utumie Post Office)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom