Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,591
We ndo pumbafuuu kweli mafiii kabisa hiyo Google yenyewe Ni ya wazunguKawaulize U.S.A kwanini kwenye kampeni zao wanatajwa Waislamu(Middle East)? Badala ya kudeal na nchi yao?
Halafu jiulize hivi kwanini World Trade Center walilipua wamarekani wenyewe akawasingizia Waislamu
(Osama Bin Laden) Duniani kote.?
Nenda Google kaandike Neno WTC halafu zitakuja photo za picha ya ndege mbili zikiwa angani zinaenda kulipua/kugonga WTC(World Trade Center),Swali lakujiuliza kutokana na uhimara wa Jengo kama lile zinaweza kugongwa ndege mbili angani na kulipuka?
FANYA VITU KWA UCHUNGUZI UGUNDUE PROPAGANDA ZINAZOENDESHWA DUNIANI SIYO UNAKAA MNADANGANYWA UISLAMU MBAYA WAKATI HAKUNA MNACHOJUA NYUMA YA PAZIA DHIDI YA WAMAGHARIBI DUNIANI.
Sent using Jamii Forums mobile app