50 killed in New Zealand after gunmen attack Mosques(Waislamu wavamiwa Msikitini New Zealand; 50 wauawa)

Kawaulize U.S.A kwanini kwenye kampeni zao wanatajwa Waislamu(Middle East)? Badala ya kudeal na nchi yao?
Halafu jiulize hivi kwanini World Trade Center walilipua wamarekani wenyewe akawasingizia Waislamu
(Osama Bin Laden) Duniani kote.?
Nenda Google kaandike Neno WTC halafu zitakuja photo za picha ya ndege mbili zikiwa angani zinaenda kulipua/kugonga WTC(World Trade Center),Swali lakujiuliza kutokana na uhimara wa Jengo kama lile zinaweza kugongwa ndege mbili angani na kulipuka?

FANYA VITU KWA UCHUNGUZI UGUNDUE PROPAGANDA ZINAZOENDESHWA DUNIANI SIYO UNAKAA MNADANGANYWA UISLAMU MBAYA WAKATI HAKUNA MNACHOJUA NYUMA YA PAZIA DHIDI YA WAMAGHARIBI DUNIANI.
We ndo pumbafuuu kweli mafiii kabisa hiyo Google yenyewe Ni ya wazungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lazima ujue kuna tofauti kati ya Dini na wafuasi, jambo kubwa ni kujua je dini ya uislamu inasema nini juu ya uhuru wa kuabudu, Mtume Muhammad (saw) aliwatendea vipi watu wa dini zingine (mayahudi na wakristo nk) katika uhai wake?!!, baada ya kujua hicho ndipo kwanza utahukumu dini ya kiislamu na baadaye utahukumu waislamu.

Uislamu ni dini inayotoa uhuru mkubwa wa watu wa dini mbalimbali kuabudu bila bughudha kama wanatokea waislamu wanaifanya kinyume na hapo basi ni jambo la kusikitisha sana.
Hio ni kweli kabisa. Ndiyo Maana Makka kuna makanisa na masinagogi ya kutosha
 
wewe ndie huna adabu kwa kumnyamazisha MTU as if HAQI ya kusema umempa wewe! Hebu soma Kauli ya Kigezo chenu chema...View attachment 1047392View attachment 1047394View attachment 1047395View attachment 1047396

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayaaa !
IMG-20190322-WA0005.jpeg
IMG-20190322-WA0007.jpeg
Screenshot_20190322-215134.jpeg
FB_IMG_1527450558269.jpeg
tapatalk_1528385264143.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio umepost nini? Usinitafutie ban dogo! Hata dunia mzima wawe waislamu, Mimi mgen nitaendelea kushahadia kwamba!; HAKUNA MUNGU ANAEPASWA KUABUDIWA KWA HAQI ILAHA YESU NA PROF PAULO NI MTUME WAKE! kiumbe kinawabainishia wazi mchana kweupe kwamba kila mfuasi wake lazima aende motoni, hata hofu hamna mnapigia debe kwenda motoni...hhhhhhh...View attachment 1068340

Sent using Jamii Forums mobile app
Yesu !?
Screenshot_20190411-073553.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio umepost nini? Usinitafutie ban dogo! Hata dunia mzima wawe waislamu, Mimi mgen nitaendelea kushahadia kwamba!; HAKUNA MUNGU ANAEPASWA KUABUDIWA KWA HAQI ILAHA YESU NA PROF PAULO NI MTUME WAKE! kiumbe kinawabainishia wazi mchana kweupe kwamba kila mfuasi wake lazima aende motoni, hata hofu hamna mnapigia debe kwenda motoni...hhhhhhh...View attachment 1068340

Sent using Jamii Forums mobile app
Juuu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom