50 Cent's New Ride

...kashatangaza kufulisika, bado kale kapuu..zi kamayweza...
 
kuna sehemu nimesoma kwamba jamaa atafilisiwa hivi karibuni.naona ameanza kuchukua mazoezi ya kutembelea gari yenye muonekano kama wa vitz.karibu 50 ktk chama cha wanaume wanao-push vitz,fun cargo and the likes.
 



Yes, that's a money sandwich of hundos he's flaunting. We're told it totaled around $5k and Fifty wanted EVERYONE to see it.

Truth is… Fifty’s gonna be just fine financially, despite owing $5 mil here and $17 mil there. Our sources tell us the recent bankruptcy filing is just a legal maneuver to reorganize his finances.

Bottom line: 50's still filthy rich.


Read more: Celebrity Gossip | Entertainment News | Celebrity News | TMZ.com
 
Ni aibu 50 kutangaza kufilisika, ile adhabu ya mahakama ya kulipa dola milionni 5 kwa mmpenzi wa rick roz ndio imemchanganya, sasa anaiomba mahakama ilinde mali zake kwa kutaka imtangaze kufilisika.
 



Hakuna legal repercussion?
 
Watu wajanja bwana. Ebwana kwa mwenye hiyo video atupiamo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…