Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,114 Reaction score 34,957 Oct 1, 2014 #1 Ipe maneno picha yangu ya leo........
Jerhy JF-Expert Member Joined Jul 11, 2013 Posts 3,135 Reaction score 1,001 Oct 1, 2014 #2 Amemkumbuka rafikiye wa zamani
Ziroseventytwo Platinum Member Joined Mar 27, 2011 Posts 9,472 Reaction score 17,977 Oct 1, 2014 #3 Huyu mdada mwenye kitabu ni mchepuko wa huyo jamaa. Mchepuko unavumilia kwa kuwa mwenye mali zake anajinafasi
Huyu mdada mwenye kitabu ni mchepuko wa huyo jamaa. Mchepuko unavumilia kwa kuwa mwenye mali zake anajinafasi
J jorojo JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 1,642 Reaction score 12 Oct 1, 2014 #4 kama bwai bwai tuu
KAJICHO KIVULI JF-Expert Member Joined Jul 30, 2013 Posts 2,061 Reaction score 547 Oct 1, 2014 #5 naye yumo lakini havumi
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Oct 1, 2014 #6 MziziMkavu said: Ipe maneno picha yangu ya leo........ Click to expand... Ungeonesha na upande wa pili ungeona huyo bidada naye anakonyezwa zilikuwepo mno hizo kwamacheni enzi hizo
MziziMkavu said: Ipe maneno picha yangu ya leo........ Click to expand... Ungeonesha na upande wa pili ungeona huyo bidada naye anakonyezwa zilikuwepo mno hizo kwamacheni enzi hizo
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Oct 1, 2014 #7 Ziroseventytwo said: Huyu mdada mwenye kitabu ni mchepuko wa huyo jamaa. Mchepuko unavumilia kwa kuwa mwenye mali zake anajinafasi Click to expand... Hapana nakataa kabisa huyo ni mwizi tu kama wezi wengine
Ziroseventytwo said: Huyu mdada mwenye kitabu ni mchepuko wa huyo jamaa. Mchepuko unavumilia kwa kuwa mwenye mali zake anajinafasi Click to expand... Hapana nakataa kabisa huyo ni mwizi tu kama wezi wengine