5 African Countries That Have Fallen into China's Debt Trap

Nakukumbusha; Tumeingia kwenye Utumwa toka siku ya kwanza kuanza kupokea misaada ya ovyo ovyo
 
Ni vema badala ya kukopa tungewashawishi waje wajenge viwanda Africa.vijana wangepata ajira na ugumu wa maisha ungepungua.Lakin sasa duh!
 
Hata Zambia ambaye tayari yameanza kumkuta hayumo humo.
 
Kuna huu ujinga wa viongozi wa kusema sisi tukope tu kwani hata nchi Kubwa zina madeni; mawazo ya namna hiyo yatatuweka pabaya sana. Ukiwa mtu binafsi na hata nchi yenye uongozi wenye maono, inapokwenda kukopa wakati huo huo inakuwa imetafakari jinsi ya kulipa huo mkopo na sio tu kufikiria kuwa maadam wakubwa kama marekani wana madeni na sisi nivyema tukawa na madeni!! Marekani wanaweza kulipa madeni yao kwa kuprint notes zao na sisi je? Tusifuate mkumbo, lazıma tufikiri kwa kutumia vichwa vyenye akili na sio vyenye pumba!

Ndio maana ni vyema kama wazalendo tukawa na mjadala wa kitaifa kuona kama haya madeni tunayoingia kama nchi je yana faida kwa maendeleo yetu au tunatwishwa mzigo na viongozi kwa faida zao bifasi? Ni vyema as a country we should revisit those CHINESE contractual loans that KIKWETE committed the country without proper due diligence; tusipofanya hivyo in no time these Chinese will come to ask for their pound of flesh!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…