karanga mbichi
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 269
- 223
kumekuwa na malalamiko sehemu nyingi watu wakidai tigo bado hawana uwezo wa kutoa huduma za4g kwa wateja,,,
Kilichofanyika ni kuiboost tu 3g iliyokuwepo kufika walau 3.75g
Je ukweli ni upi kati ya hayo maana kasi ya internet yao bado ya kawaida saana