4G iko hewani

hhsmakwato

Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
97
Reaction score
51
Je hii ipo mikoa ipi kwa sasa ?

Namaanisha Tigo.
Leo katika pitapita nimeiona kweny vifurushi vyao vipya vya internet.
 
Karibu Dar nzima sasa wameshaweka minara kila siku wana launch site mpya
last month List ya maeneo nilopewa hii hapa

kurasini
muhimbili
ubungo
kawe
segerea
sea-view kivukoni
bandari
jangwani
sokota
kijitonyama (makumbusho)
tandika kimanga segerea
seaclif
ghoba
oceanview
slipway
peninsula msasani
yatch club msasani
kijitonyama
university ubsm + ubungokibangu
vatcan sinza
 
Huduma ya 4g inapatikana kama 3g au hadi kujiunga?

Unaitaji Kifaa cha 4G iwe simu au Modem au Router mfano simu ka S4,S5 ziko 4G enabled ila kwa Modem ya Tigo 4G wanauza 100,000/=
Sanjali na hilo unaitaji special 4G Sim card ambayo wanauza 10,000/=

Vifurushi vyao hivi hapa

Speed yake average hii hapa kwa eneo ninaloishi

Hizi modem zao za 4g hiv zimekuwa locked au unatumia mtandao wowote maana wakija akina voda airtel zantel na hi network na 4g zao NA KILA MTU AKAUZA MODEM LAKI MOJA ITAKUAJE HAPA
 
Mi naona wanapiga dili la fasta fasta kama 3G huku mikoani ni kimeo inakuwaje wanatuletea hii 4G!?
 
Hizi modem zao za 4g hiv zimekuwa locked au unatumia mtandao wowote maana wakija akina voda airtel zantel na hi network na 4g zao NA KILA MTU AKAUZA MODEM LAKI MOJA ITAKUAJE HAPA

Nachojua Modem yoyote ya Huawei ikiwa locked na mtandao fulani afu nikienda ebay naona kuna Universal modem ya model hiyo hiyo nakua na uhakika 100% kwamba hiyo modem inachakachulika mfano hizi za Tigo ni Huawei E3372 na kuna Unlocked version zake hivo ni swala la kutafuta tu firmware

Swala la 4G ni gumu maana kila mtandao unaleta Bands zake
Tigo wanatumia band ya FDD 800Mhz sawa na Smile
Hivo ukiwa na modem ya Tigo uka Unlock basi utatumia na Smile hapo hapo
Smart wana 4G ila wanatumia TDD 2300Mhz hivo usitegemee kuchukua eti modem ya Tigo uitumie kwa Smart

Hivo hiyo mitandao unayongelea wewe ni imaginery tu Maana mtandao naojua una ndoto ya 4G ni Voda hapo ila ukitaka kuwa salama Tafuta modem au router yenye coverage kubwa ya FDD na TDD frequencies

e.g
Network Bands

4G/LTE Frequency Bands
Huawei B593s-82: Band 38/40 (TDD 2300/2600MHz) (FDD DD800, 1800 , 2600 )
Data Rate Speed 4G/TD-LTE link Speed Downstream: 112 Mbit/s Upstream: 50Mbit/s

Mwisho kabisa,Hizi 4G zime target office za watu na watu wenye nazo personally nisingeshauri mtu anunue maana hata bundle zao ni pasua kichwa kabisa na wakati mwingine speed zao unakuta zinalingana na 3G kwa baadhi ya maeneo
Imagine 10GB ni 80,000/= au 5GB ni 40,000/= ni shida tupu
 
Last week niliagiza 4G handset toka China via Alibaba.Nnayo hapa ndo nnayoitumia kuandika Uzi huu.Pale palipo na 4G ya tigo sio siri panakuwa apatoshi.Ni sawa mikoani net inasua sua ila Tigo kwenye 4G wapo vizuri
 
wako vizuri sana kama haujawai kupata speed ya 8Mbps bila fluctuation kubwa
tofauti na hapo charges zao nazo ni pasua kichwa 40,000/= 5GB kwa mwezi
 
Duh mloko town mnafaidi sn mi kijiji nilipo ndo tumepata H+ ya tigo tunashangilia kishenzi ila inafanya tu vizuri
 
Duh mloko town mnafaidi sn mi kijiji nilipo ndo tumepata H+ ya tigo tunashangilia kishenzi ila inafanya tu vizuri

page ya Jamii Forum inafunguka kwa dakika 5:A S confused:, tigo labda ni nzuri kwa walio dar tu
 
Mkuu mimi nilipo natumia zantel kwenye simu,nanunua bundle la 1000 wananipa 1.5Gb,huwez amin napata ping ya 36ms na download speed ya 8mbps,kwang sion haja ya 4g,ingawa tatzo la zantel ni ukihama kidogo network inaweza kusoma 2g
 
Mkuuu kumbe ili kupata 4G inahitaji uwe na special sim card ???? Siyo hizi ambazo tunatumia kwa sasa??
 
Mkuu mimi nilipo natumia zantel kwenye simu,nanunua bundle la 1000 wananipa 1.5Gb,huwez amin napata ping ya 36ms na download speed ya 8mbps,kwang sion haja ya 4g,ingawa tatzo la zantel ni ukihama kidogo network inaweza kusoma 2g

Ndo jibu nililo mpa mdau hapo Juu kwamba Tigo 4G iko fasta kwa ambao hawajawai hata kupata 8Mbps constantly
Kipindi Airtel wana vifurushi fulani bei chee nilikua nacheza tu 14-16Mbps
Mitandao kama Zantel na Voda sijue kwa sasa Airtel inajitaidi sana
Wakati hii Tigo ya 4G nimewai kupata 40Mbps siku moja tu na haikuwai kujirudia average naishia kupata 8-13Mbps
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…