48 hours mystery Chasing the Barefoot Bandit: A sensational documentary u need to watch

48 hours mystery Chasing the Barefoot Bandit: A sensational documentary u need to watch

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
5,937
Reaction score
1,445
wakuu huwa napenda sna documenatry sababu ni syry za ukweli.

Juzi juzi nimetazama documenatry moja ya kusisimua yenye tittle kama kichwa cha habari .

  • Inasikitisha sababu kijana mdogo sababu ya mtattizo ya kifamilia alikijukta anakuwa mdokozi
  • Inasikitisha kuwa kijana baada ya kufungwa jela ya watoto aliweza kutoroka
  • Inafurahisha kuwa kijana alikuwa na ndoto na alipenda sana kazi ya kuendehsa nege akiwa mkubwa
  • Katia udokozi wake kijana aliweza kununua DVD za kujifunza kuendesha ndege
  • baada ya kuiba iba sana kwenye nyumbaza watu kijana alifanikiwa kuiba na kuendesha na kupaisha ndege zadii ya nne na boti moja.
  • Kijana ambaye umri wake hauzidi miaka 20 kaiba ndege USA na hata canada kaiba boti bahamas.
nimeshindwa kuelewa lawama za huyu kijana nimtupie nani. wazazi , system yaani serikali , jamii aliyokuwa akiishi au ni matatizo yake

Soma kisa kamili cha dcuemnatry hiyo hapa Chasing the Barefoot Bandit - CBS News
Kupakua video documenatry nzima unaweza kwenda kwenye torrents

BTN
Nitafuraji nikitajiwa best documentary video based on true story or events wadau mazojua
 
Back
Top Bottom