45 Shiite pilgrims killed in twin suicide bombings in Iraq's Karbala

Hii ni imani ya ajabu sana! Mimi nafikiri wamepagawa na mapepo, na kwa kuwa wao kuwa na majini sio shida! Tumwombe Mungu...hawa ndugu zetu watz wasije nao wakapagawa...wakaanza kujipulia!!! Maana maneno wanayoyasema, haashirii mema kabisa! Nilitegemea MKUU wa nchi akemee watu kama hao...maana wanahatarisha amani ya nchi!! lakini naona kimyaaaa!!!

............. Yale "MAPEPO" mnayotoana kwa Kakobe na Rwakatare na kwa Mzee wa Upako na yule anae jiita nabii Mwingira, huwa mnayapata wapi ? nasikia mnayalipia !:shetani::flypig::crazy:
 
Ni kweli wanahitaji kuhurumiwa na kuombewa! Na Mungu awahurumie wakaione NURU kwenye maisha yao! Heri wangekubali kumwamini MFALME WA AMANI... wangepata amani kwenye maisha yao na kwenye nchi zao!

...... mfalme wa AMANI ni yupi ?
 
Back
Top Bottom