Kwa kuongezea ufafanuzi, 40mph ni mwendo kasi uliosawa na mwendo kasi wa 64km/h, mfano kama gari itatembea maili 40 kwa saa moja (40mph) mwendo kasi huo ni sawa na hiyo gari itembee kilomita 64 kwa saa moja (64kmh) kwasababu umbali wa maili tano ni sawa na umbali wa kilomita 8.
mph= mile per hour.
km/h= kilometer per hour.