Wakuu samahan naomba kuuliz et nini maana ya 40mph (64 km/h) msada tafazar
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kawaulize euwraWakuu samahan naomba kuuliz et nini maana ya 40mph (64 km/h) msada tafazar
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kwamfano unaitak kwenda sehem na ukaambia kwaiosehem unayo enda ukitembea 40mph ( 64km/p) utaweza tumia samoja nanusuAll the same. Ni conversion ya 40miles to km ambayo ni almost 64.3km
Je nispidi ipi utakua unetumia apo kakaKwamfano unaitak kwenda sehem na ukaambia kwaiosehem unayo enda ukitembea 40mph ( 64km/p) utaweza tumia samoja nanusu
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hiyo ni Maili 40 kwa saa ambayo ni sawa na kilometa 64 kwa saaWakuu samahan naomba kuuliz et nini maana ya 40mph (64 km/h) msada tafazar
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Asante kakaHiyo ni Maili 40 kwa saa ambayo ni sawa na kilometa 64 kwa saa