400,000/= Natafuta simu

Yes Yes Yo

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2014
Posts
232
Reaction score
99
Nina 400,000/= natafuta simu ya kununua, kwa mwenye nayo tuwasiliane.
Napatikaa Dar es Salam

0768899062...
N:B Isiwe Techno, wala Nokia
 
Imetumika miezi sita ila ipo katika hali nzuri. Ina gb 16,kamera 8 kwa info zaidi search kwenye net..
 
Ninazo Motorolla Droid Razr, 16gb internal, 8 megapixels camera HD brand new from US.
 

Attachments

  • 1409685352165.jpg
    57.4 KB · Views: 154
Nina 400,000/= natafuta simu ya kununua, kwa mwenye nayo tuwasiliane.
Napatikaa Dar es Salam

0768899062...
N:B Isiwe Techno, wala Nokia.
Kwani we upo wapi maana kwa hela hiyo mbona ukienda dukani unapata simu mpya nzuri tu tena orijino. Au unapenda mitumba sana?
 


Ninayo blackberry Z10-400,000, htc desire 300- kwa 320,000 na Samsung Gakaxy S3 mini kwa 350,000
 
Nina 400,000/= natafuta simu ya kununua, kwa mwenye nayo tuwasiliane.
Napatikaa Dar es Salam

0768899062...
N:B Isiwe Techno, wala Nokia





Ninayo blackberry Z10-400,000, htc desire 300- kwa 320,000 na Samsung Gakaxy S3 mini kwa 350,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…