GuDume JF-Expert Member Joined Jan 18, 2015 Posts 6,700 Reaction score 14,641 Jun 7, 2017 #21 HARMORAPA ni nani wa wapi? liljustine21 said: Anapatikana kwenye nyimbo ya HARMORAPA NUNDU Click to expand...
HARMORAPA ni nani wa wapi? liljustine21 said: Anapatikana kwenye nyimbo ya HARMORAPA NUNDU Click to expand...
mwanaMtata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2014 Posts 2,393 Reaction score 1,433 Jun 8, 2017 Thread starter #22 GuDume said: HARMORAPA ni nani wa wapi? Click to expand... Harmorapa ni kiboko ya mabishoo anatoma mtwara
GuDume said: HARMORAPA ni nani wa wapi? Click to expand... Harmorapa ni kiboko ya mabishoo anatoma mtwara
GuDume JF-Expert Member Joined Jan 18, 2015 Posts 6,700 Reaction score 14,641 Jun 8, 2017 #23 Aisee... Simfaham. Ni jamaa yako?anahusika na nini kiuchumi au kisiasa? Anyway...nadhan mnajuana wenyewe liljustine21 said: Harmorapa ni kiboko ya mabishoo anatoma mtwara Click to expand...
Aisee... Simfaham. Ni jamaa yako?anahusika na nini kiuchumi au kisiasa? Anyway...nadhan mnajuana wenyewe liljustine21 said: Harmorapa ni kiboko ya mabishoo anatoma mtwara Click to expand...
nsanzu JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 4,953 Reaction score 5,825 Jun 8, 2017 #24 Utafika muda nyie wenye electronics mitumba mtaelewa tu. Hiyo dunia ishapitwa na wakati
mwanaMtata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2014 Posts 2,393 Reaction score 1,433 Jun 9, 2017 Thread starter #25 nsanzu said: Utafika muda nyie wenye electronics mitumba mtaelewa tu. Hiyo dunia ishapitwa na wakati Click to expand... Naona mkuu wewe umeadvance. Acha washamba tuzidi kuuziana dairly na kujipatia kipato.
nsanzu said: Utafika muda nyie wenye electronics mitumba mtaelewa tu. Hiyo dunia ishapitwa na wakati Click to expand... Naona mkuu wewe umeadvance. Acha washamba tuzidi kuuziana dairly na kujipatia kipato.
Kingo JF-Expert Member Joined May 12, 2009 Posts 856 Reaction score 396 Jun 10, 2017 #26 magode said: TCL inchi 43 laki 4 na nusu mpyaaa na ukitaka unaletewa mpaka nyumbani. Hiyo ya kwako utapata shida sana kuuza otherwise umpate mtu asiyejua kabisaa bei ya hivi vitu..!! Click to expand... Hebu ni-pm kuhusu hiyo tcl ya sifa na bei hiyo bibi yangu naye achekelee
magode said: TCL inchi 43 laki 4 na nusu mpyaaa na ukitaka unaletewa mpaka nyumbani. Hiyo ya kwako utapata shida sana kuuza otherwise umpate mtu asiyejua kabisaa bei ya hivi vitu..!! Click to expand... Hebu ni-pm kuhusu hiyo tcl ya sifa na bei hiyo bibi yangu naye achekelee