Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,149
- 28,626
@la costa. Hv had uwe daktar c unakua umesoma na kufanya fld sasa kama hatakua hajapac coz yake atakuaje doctor na swala la 2.5 c kua hawez bal pac ndogo hata pia m2 mwenye dv.4 yenye credt 3 anweza kupata nafac advanc akapo4m fresh Kulko alye kua n pac ya maana ka div.1 o 2? Na swala lakusoma nje asilimia kubwa wanakua na cutoff ndogo so c wote na hapo zaman walkua wale wanaohkosa muhas hilyo kua taw la udsm mana palkua hapana chuo chengne kabla ya kcmc moshi, Swala la wa2 kufa kwa uzembe wa dactor la kawaida katka kaz sio kwamba n kwasababu ya elm walyo nayo ila axdent ktka kaz hata maruban wazoef wanaangushaga ndege na pia madreva wazoefu vle vle. Mkuu ciamn ka ww unasoma md na ka unasoma kwel bac hujaemeelmka mana ungekua ungelielezea swala hl ksom na c klockal ka hv mana ungeeleza elm ya tz ilvo kua highly composed by theory na cpractical samahan ka ntakua nmekuudh kwa kutumia neno 'hujaelmka' mana lengo n kukutaka angalau uwe na GT vision. nasbmt
mkuu inafamka waz kua anayekua kafaulu scienc ba c art pia anasahr mkuuwewe ulistahili husome hkl nashangaa pcb umefuata nini
kwa sababu unamaneno mengi sana
hapo ulibaka kombi
Jaman kuna kachuo kameongezwa 2nd round selection n kabranch cha SAUT kako Songea kana doctor of medicine so kama pcb na cbg unaomba through tcu kwa walio kosa na kama ulshachagua chuo kngne unapga mshe ya kuhama mana cutoff itakua ndogo sana hata 2.5 unapata, kwa wale wa pcm unaomba directry kwa chuo.
Samahani mdogo wangu...naomba kajifunze kuandika ukishaweza njoo urudie huu ujumbe...sijakuelewa kwa kweli...!!@la costa. Hv had uwe daktar c unakua umesoma na kufanya fld sasa kama hatakua hajapac coz yake atakuaje doctor na swala la 2.5 c kua hawez bal pac ndogo hata pia m2 mwenye dv.4 yenye credt 3 anweza kupata nafac advanc akapo4m fresh Kulko alye kua n pac ya maana ka div.1 o 2? Na swala lakusoma nje asilimia kubwa wanakua na cutoff ndogo so c wote na hapo zaman walkua wale wanaohkosa muhas hilyo kua taw la udsm mana palkua hapana chuo chengne kabla ya kcmc moshi, Swala la wa2 kufa kwa uzembe wa dactor la kawaida katka kaz sio kwamba n kwasababu ya elm walyo nayo ila axdent ktka kaz hata maruban wazoef wanaangushaga ndege na pia madreva wazoefu vle vle. Mkuu ciamn ka ww unasoma md na ka unasoma kwel bac hujaemeelmka mana ungekua ungelielezea swala hl ksom na c klockal ka hv mana ungeeleza elm ya tz ilvo kua highly composed by theory na cpractical samahan ka ntakua nmekuudh kwa kutumia neno 'hujaelmka' mana lengo n kukutaka angalau uwe na GT vision. nasbmt
Samahani mdogo wangu...naomba kajifunze kuandika ukishaweza njoo urudie huu ujumbe...sijakuelewa kwa kweli...!!
Hivi ukiandika vizuri bila kufupisha utakufa?
Hahahahahahaha inawabid waliokosa ndo waaply now au unasemaje
Doctor of medicine ni PCB tu for direct entrants!
sasa kumbe umesoma jiamn kwanza, hv umesoma na wangap ambao walkua na uwezo na uelewa lakn result ya mwsho ikaja kuwashusha?nimesoma pcb enoc au nikupe exam namba ukaangalie necta
kwel mana hata wengne hawakuelewa.. Ila hata hvo kutokuelewa cio hapa 2 inaonyesha n kawaida yako na itakuchukua muda mrefu kuelmika kaka ila ucjal n matatzo ya kigenetic 2.
hapana cio hvo mkuu mfano cuhas
Usielewa ni wewe kilaza uliefeli halafu unataka mambo makubwa...kama una ubavu weka jina lako hapa tuangalie nina uhakika una three ya mwisho au 4 kabisa na ukifanya hivyo mimi nakuapia naweka vyeti vyangu hapa watu waamue nani ana kansa ya ubongo....ati unataka udaktari....hata uganga majimarefu hufai ...i wont argue with a fool bcoz u will bring me down to u r level and beat me with experience...
Kama anafanya hivyo ni kukiuka taratibu! You need physics to be enrolled in medicine.
nomaly nakwambia sio hum wote n maGT, pac zako kubwa n faida yako na ndugu zako cc haztuhusu. Mkuu humu ss maGT ha2ongei mambo ya kiumbea na yasiyo kua na hekma ambayo yako facebook just come guy hii jf bhana lete point ambazo zta2jenga kwamfano kama mada ye2 we kama unayejihta doctor ungezungumzia k2 kinahtwa 'anatomy' na kuna k2 kinahtwa 'human physiology' il huusianshe na 2.5 il kuonyesha kua n vgum kusoma madude kama hayo na ckukmbilia sifa mkuu c facebook hapa pa kuuzia sura ka hvo vyet vyako vfanye vwe profile pct yako huko kwenye mtandao jamii ya kuuzia sura utapata sifa sana, pia naongezea kwa faida yako mm nmesoma pcb nna pac ya maana na nnakwenda kujpigia pharmacy mana md cjahpenda. Nawaslsha
Jamn mmennot vbaya cjasema kua cutoff n 2.5 ila nmesema "hata wenye 2.5 wanaweza wakapata" c vingnevo wakuu lakn cutoff n 4.5.
Facebook nenda ww usiyejua kuandika ukpost picha na ushuzi ulioleta hapa ati 2.5 waende md...mi nshakwambia kama umefaulu usingeleta hii hoja...2.5 hata AMO hupokelewi....na hiyo famasia unayoenda kusoma nina uhakika sio muhimbili,kcmc labda st john ya dodoma au chuo chako hapo juu maana kama wanapokea 2.5 md basi pharmacy hata 1.5 utaenda tu....soma post kuanzia mwanzo ni nani kaanza kuchafua hewa humu ndani! Kila mwenye uelewa kakupinga kuwa 2.5 md ni janga ww na ukilaza wako unalazimisha hoja na kuattack watu....
hyo n kwel mkuu n 4.5 lakn ukiangalia post angu ckusema kwamba cutoff n 2.5 nlsema kwamba hata wenye 2.5 wanaweza pata, na naomba kukufahamsha mkuu kua kuwa not-eligible sio huchaguliw labda sema kwa vyuo vya government c rahc kuchaguliwa lakn kuna baadh ya facuty ambazo hazna waombaj weng wanapata, hako kachuo n privet wanatafuta hela cio cutoff ilmrad 2 icpungue principo pac mbil mkuu nawaslshaCut off points ni 4.5 sasa wa 2.5 atachukuliwaje???
huyo yuko "NOT ELIGIBLE" kijana!! acha kutuchezea akili