4 Bdrm House for Rent at Mikocheni A

4 Bdrm House for Rent at Mikocheni A

Kabachubya

Member
Joined
Oct 6, 2009
Posts
87
Reaction score
10
Mikocheni A, A 3 bedrooms (1master bedroom) unfurnished house with common bathroom, lounge,dining room,kitchen, ample parking space. Direct contact to the proprietor.
Staff quarter has 2 AC rooms, kitchen,toilet and bathroom, garage also.
Preserve water tank 12,000 liters. Rent is USD 2,600/ months and terms is you one year

For communication contact: 0762101178
 

Attachments

  • 1.jpg
    1.jpg
    23.2 KB · Views: 103
  • DSC06047-2.jpg
    DSC06047-2.jpg
    26.5 KB · Views: 109
  • DSC06049-4.jpg
    DSC06049-4.jpg
    23.1 KB · Views: 99
  • DSC06052-6.jpg
    DSC06052-6.jpg
    24.2 KB · Views: 96
  • DSC05930-7.jpg
    DSC05930-7.jpg
    15 KB · Views: 94
Lets see: $2,600 x12= 31,200x1600=49,920,000/= rent per annum. Kama una hii pesa afadhali ujenge nyumba yako mwenyewe.
 
Sema wewe mjomba,wabongo wanapenda sana utajiri wa haraka haraka,tena anaweka midorali utafikili nae kaijenga kwa midorali
Hata ile maana ya ku-rent haipo tena hapo. Nadhani tangazo lingesema nauza nyumba ila unaweza kulipa taratibu kwa installment 12 ndani ya kipindi cha mwaka mmoja
bei ni 50m
 
Umasikini ni kitu kibaya sana, na ndio maana masikini hawezi kuendelea hadi siku atakapoacha majungu na kufanya vitu vya maendeleo. Hiyo nyumba haijashushwa toka mbinguni, nendeni masani muone kodi USD 4000 kwa mwezi. piga hesabu zako sasa.
 
Lets see: $2,600 x12= 31,200x1600=49,920,000/= rent per annum. Kama una hii pesa afadhali ujenge nyumba yako mwenyewe.
Teh teh teh teh teh!
Huku kwetu MASAKI tunalipa $6,000 kwa mwezi lol!
So piga sasa $6,000x1,600=9,600,000x12=115,200,000 per a year lol!
 
Furnished 2 bedroom full airconditions, generator, 24 hrs security, located at city centre for $90 per day
 
Tatizo bongo watu wanaiga sana bila hata kuangalia hali halisi ya watanzania. Hii rent ya $2,600 unamlenga Mtanzania wa kawaida wewe na mimi au unamlenga Mtanzania hama mwizi au mwenye biashara yake kubwa (ambaye akakuwa na nyumba yake). Kipato cha Mtanzania wa kawaida ni kiasi gani. Hii rent hata NEW YORK ni kwa maeneo makubwa sembuse Bongo?
 
Umasikini ni kitu kibaya sana, na ndio maana masikini hawezi kuendelea hadi siku atakapoacha majungu na kufanya vitu vya maendeleo. Hiyo nyumba haijashushwa toka mbinguni, nendeni masani muone kodi USD 4000 kwa mwezi. piga hesabu zako sasa.

Nadhani kukosa akili ya kutumia pesa, 'financial intelligence', ni kitu kibaya zaidi kuliko umasikini. Unawza kutoka katika umasikini ukiwa na financial intelligence, lakini kama huna utaendelea kuwa masikini.
 
Dah hii sasa kufuru jamani tutalala wapi sisi watz! Natukana kimoyomoyo matusi ya nguoni kukwepa ban tu lakini otherwise...........!!
 
Marent haya kama tupo TOKYO

Ndo hapo sasa.

Kwa rent hiyo unapata sehemu Manhattan. Sasa sijui Mikocheni A ina rank vipi na Manhattan.

Na kama hii ndiyo rent ya Mikocheni A ya Oysterbay au Kivukoni Front itakuwa kiasi gani?

Ridiculous.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom