Vuta subira...ndani ya mwezi huu katikati au mwishoni.Tujuzane lini majina ya 3rd round yatakua out ! Na vyuo vitakavyotoa majina
trh 6 ndio walisema ila kutokana na huu mkanganyiko wa second round baadhi ya vyuo kuchelewa kutoa selectin makadili ni kuazia trh 6 mpaka trh 10 watakua washatoaTujuzane lini majina ya 3rd round yatakua out ! Na vyuo vitakavyotoa majina
Mkuu watu bado tunasubili second round kwenye vyuo ambavyo havijatoa majinaTujuzane lini majina ya 3rd round yatakua out ! Na vyuo vitakavyotoa majina