una uhakika kuwa vyuo vyote vime update hayo majina kama unavyodai?
Nafikiri huwa Tcu mwisho wa kaz nzima huwa wanatoa takwimu za ujumla..!
Ila pia kama vipi litazame jina lako ktk ile list of selected applicants 2013/14 kama jina litakuwepo mule katika database?
Naomben mnisaidie kwa anaejua kuhusu ile st Joseph college of agricultural sciences and technology ya songea,kama wmetoa majina 3rd round applicants..au mwenye kujua website yao naomba anitumie..