Asalaaaaam Aleykuum waungwana. Msaada tafadhali wadau, natumia mtandao wa tigo na nimefanya setup ya internet lakini nimebulia 2g kila ninapojaribu ku-setup. Naomba msaada wenu waungwana!
aisee tigo sijui wakoje? maana hata mie nilikuwa nina Samsung galaxy y pro na haijawahi kuonesha 3G ila kwa airtel ni fasta. so kwa ushauri tu jaribu kuweka line ya mtandao mwingine kwanza

Nenda ktk settings~connections~more networks~mobilenetworks~Network mode chagua WCDMA Oonly apo utakuwa umeicommand ikamate 3G pekee kama eneo ulilopo kuna 3G itanasa tu
aisee tigo sijui wakoje? maana hata mie nilikuwa nina Samsung galaxy y pro na haijawahi kuonesha 3G ila kwa airtel ni fasta. so kwa ushauri tu jaribu kuweka line ya mtandao mwingine kwanza
Asalaaaaam Aleykuum waungwana. Msaada tafadhali wadau, natumia mtandao wa tigo na nimefanya setup ya internet lakini nimebulia 2g kila ninapojaribu ku-setup. Naomba msaada wenu waungwana!
Dah yaani hapa haya sielewi maana nikiangalia hii simi nina wasiwasi nayo katika uhalisia wake ingawa nime-run antutu benchmark na nimepata values zaidi ya elfu 30. Sasa sirlewi bado tatizo lipo wap mpaka sasa