3g internet vijijini

Naipuli

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2012
Posts
266
Reaction score
110
Habari waungwana!
Naomba kufahamu kama kuna software yoyote ninaweza kuinstall kwa Laptop yangu ambayo inaweza kuaccess 3G kwa huku kijijini ambako huduma za 3G hakuna.
AU
Kama kuna Apps zozote ninazoweza kuinstall kwa simu yangu ili niweze kuaccess 3G.
NATUMIA TECNO N3 (Android Phone).
Nawasilisha.
 
mkuu hapo ni sawa na kutaka kulazimisha kupitisha gari lako kwnye lami wakati unayoiona mbele yako ni balabala ya vumbi..kama 3G hamna ni hamna tu labda ufunge dish lako mwenyewe ila si kwa njia ya hii mitandao ya simu maana hii ni mpaka wao waruhusu hio huduma mahali husika na ndo maana kuna baadhi ya mitandao kama tigo unakuta hata hii 3G walionayo kuna baadhi ya miji tu hamna sembuse vijijini..!! So, hata ukitafuta app ya pc ukiweka ni sawa na kuunganisha nyaya za umeme ndani mwako na kutaka kuwasha taa wakati huna source yoyote ya huo umeme..vumiliia tu na hiyo connection unayoipata kwa sasa unless uhamie eneo ambalo unauhakika unapata 3G..
 
mpaka wafunge antenna za 3g kwenye minara yao.au unaweza ukakuta zipo ila mnara uko mbali,itachukua muda sana,na kwa vile tena sasa hivi kampuni za simu hazisimamii minara ndio inakuwa shughuli zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…