Hammy Js JF-Expert Member Joined Sep 20, 2017 Posts 3,053 Reaction score 3,268 Oct 7, 2017 #1 Nauza 3G HSPDA modem mpya inayotumia laini zote , pia ina sehemu (slot) ya kuweka memory card hivyo utaweza kuitumia kama flash pia kwa kuweka memory yako kwenye hiyo sehemu. Location: Napatikana DSM,Ubungo Bei : Tsh 30,000/= FREE DELIVERY KWA DSM.
Nauza 3G HSPDA modem mpya inayotumia laini zote , pia ina sehemu (slot) ya kuweka memory card hivyo utaweza kuitumia kama flash pia kwa kuweka memory yako kwenye hiyo sehemu. Location: Napatikana DSM,Ubungo Bei : Tsh 30,000/= FREE DELIVERY KWA DSM.
Silvester Kapala Senior Member Joined Aug 26, 2017 Posts 140 Reaction score 103 Oct 7, 2017 #2 Vp kaka una moderm inayo tumia 2G ya Voda?
Hammy Js JF-Expert Member Joined Sep 20, 2017 Posts 3,053 Reaction score 3,268 Oct 7, 2017 Thread starter #3 Silvester Kapala said: Vp kaka una moderm inayo tumia 2G ya Voda? Click to expand... Hapana kk, chukua universal utumie kwa laini yoyote unayotaka kutumia
Silvester Kapala said: Vp kaka una moderm inayo tumia 2G ya Voda? Click to expand... Hapana kk, chukua universal utumie kwa laini yoyote unayotaka kutumia