Laptop yako ina kioo kinachoweza kuonesha 3D au unadhani kila screen ina uwezo wa 3D?
Download program inaitwa The KMPlayer, kuna option kwa chini inauwezo wa kuzimerge 3D videos na kuwa moja, ila pic itakuwa normal not 3D.
Itahitaji display yenye kuonesha 3D
Laptop yoyote inauwezo wa kuonesha 3D. Unatakiwa uwe na miwani ya 3D special kwa ajili ya lapyop. Nimeshaangalia movie kibao za 3D kwa mtindo huu. Izo miwani upande mmoja kioo cha blue upande mwingine rangi nyekundu. Ila uwe na KM player.
Laptop yoyote inauwezo wa kuonesha 3D. Unatakiwa uwe na miwani ya 3D special kwa ajili ya lapyop. Nimeshaangalia movie kibao za 3D kwa mtindo huu. Izo miwani upande mmoja kioo cha blue upande mwingine rangi nyekundu. Ila uwe na KM player.
Mheshimiwa mimi sijawahi kuangalia 3D movie, naomba unieleweshe kuhusu 3D movie kwa kutumia your personal experience
unatakiwa uangalie mwenyewe ni almost imposible kuhadithiwa 3d lakini maelezo rahisi unafeel kama na wewe upo ndani ya ile movie/video miwani zinauzwa shilingi 10,000 tu kwenye majumba ya cinema.
correction kk, ts just 5000. Na yeah ni ngumu kueleza the best i can tell ni screen inakua na some depth to it, sio flat which makes you think unaweza wagusa cuz watu kama wako nje. Na scene za gari kuja kugonga screen or mtu shooting you from the screen zinakuaga nyingi kama ukiskia movie ni 3D maana hua ndo zinamake impact kwa watchers. Ila to be honest first times kinda inaumiza macho esp movies ka Transformers hiv, ila ones u get used to it ts ol cul!
maybe zimeshuka yangu nilinunua 10,000, mimi pia first movie kuangalia ilikuwa transformer kichwa kiliuma sana kutokea machoni. jamaa wanatakiwa waimprove hii technology la sivyo haitaenda mainstream.
Hii nitaitafutia muda, na je vipi ukivua hiyo miwani wakati upo kwenye jumba la sinema, utaonaje?