Then sitaweza kukujibu kitaalamu ukanielewa..Thanks
• Inawezekana kuna programs nyingi zinazorun kwenye background na pc yako inakuwa inashindwa kuperform kwa ufanisi video playback, kutokana na pc yako kuwa na uwezo wa kawaida lakini bado ukawa unatumia programs nyingi at the same time.Nimepata somo kwa kweli nahisi mie pia ni muhanga wa 32bits maana hata video nikiweka kuna ambazo inacheza slow motion na zingine video ila zinacheza audio......au kunashida nyingine wakuu???? Nawasilisha tafadhali
Hata mimi nakuunga mkono OS is what mattersMkuu umeeleza vzuri na nimekupa like yangu....ila Mkuu unavosema kuna computer ambazo ni 32bits Na nyingine ni 64 bits nadhani unakosea kidogo...kwa uelewa wako wa computer nadhani ungesema OS ndo inaweza kuwa 32 bits au 64 bits..
Thanx worrior, I tried the options given but kila nilipojaribu kuinstall iliniambia kua my computure doesn't meet the minimum requirements,nika update software but still the problem persists.• Inawezekana kuna programs nyingi zinazorun kwenye background na pc yako inakuwa inashindwa kuperform kwa ufanisi kutokana na video playback, kutokana na pc yako kuwa na uwezo wa kawaida lakini bado ukawa unatumia programs nyingi at the same time.
• Inawezekana ukawa hukufanya installation ya drivers za graphics card za pc yako. Bila graphics card drivers kuwa installed kwenye pc yako, windows inashindwa kutambua uwezo wa video ram kenye pc yako na pia aina ya grahics card iliyo kwenye pc yako. Hivyo inakuwa ina-approximate kuwa una 256MB ambayo ni ndogo sana kwa sasa hivi na haiwezi kutumika kwa kila app kwenye pc. Hivyo make sure umefanya installation ya grahics card driver.
Yeah nakumbuka pindi tunajifunza programming (c) kwene kozi ya CS50,Prof. Malan alisema the same thing.mkuu ukiona bit kwenye processor ujue ni exponent (kipeuo au kipeo?) ya 2
hivyo 32bit ni sawa na 2^32 ambayo ni sawa na 4.2 billion. kila bit moja inasafirisha byte moja ya hio ram. hivyo max kwa 32bit processor ni 4.2billion bytes ambayo ni sawa na 4gb.
lakini computer haiwasiliani na ram peke yake inawasiliana na vitu vyengine pia kama vile PCI (sehemu zinazochomekwa gpu, wifi adapter etc), usb host (unapochomeka flash) nk hivyo bit zote za processor hazitumiki kwenye ram.
mwisho wa siku ukiwa na processor ya 32bit huwezi tumia hadi 4GB ram.
64 bit yenyewe ni 2^64 ambayo ni bits nyingi sana hata haziandikiki hapa ndio maana kuna computer za 64bit zina ram hadi 512Gb ambazo ni zaidi ya bytes bilioni 500
angalia kama hardware yako inakubali 64bit kama haikubali huwezi badili hadi ununue hardware mpya na kama inakubali itabidi ufanye clean isntallation ya software ya 64bit.Msaada jinsi ya kuibadili 32 kwenda 64 bit
Shukrani Chief naangalia vipi ili kujua kama inakubali 64 bit au la?angalia kama hardware yako inakubali 64bit kama haikubali huwezi badili hadi ununue hardware mpya na kama inakubali itabidi ufanye clean isntallation ya software ya 64bit.
unatumia kifaa kipi na os ipi?Shukrani Chief naangalia vipi ili kujua kama inakubali 64 bit au la?
hio inakubali 64bit.Sijaelewa vizur swali mkuu ila
pc natumia dell latitude window 7 professional
Core i3-2310M 2.10 Ghz
RAM 4GB
32-bit os
Hakuna asee,mwisho 2gb kwenye 32bitnioneshe computer yenye 32bit na 8gb ram