Yanayoapply kibongobongo kabla ya 30 years ni.
1. Uwe umewinda ndege
2. Uwe umehudhuria tamasha.
3. Uwe umetembea atleast mikoa 3 ya TZ
4. Uwe uwe umecheza michezo atleast mitano ya udogoni (mf mpira, rede, mdako, kibabababa, kombolela nk)
5. Uwe ushafukuzia wasichana zaidi ya watatu ( haijalishi uliwakosa ama laa )/ wasichana kufukuziwa ni constant.
6. Uwe umekutana na watu tofauti ambao utanufaika nao ( achilia mbali uliokua nao na kusoma nao)
7. Uwe ushatest pombe ( kwa baadhi )
8. Uwe ushatest sigara ( kwa baadhi )
..
..
..
..
..
..