Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 4,941
- 6,193
Brazilian tu ndio inamaendekeo nakubwa ya kiteknolojia wanaunda hats ndege.Nchi zingine hizo Hanna kitu,in masikini tu.Third world countries! Mexico na SA,Egypt au Nigeria wanatofautu ganiUkimiliki teknolojia ndio unamiliki power sasa, kwa sasa mwarabu bado yupo chini ya mzungu na anapelekeshwa na mzungu tu, chukulia tu kwa mfano sula la Israel anavyonyanyasa Wapalestina na nchi za kaiarabu kama Egypt, Saudia, UAE zinakuwa washirika wa Israel na Marekani tena
Afrika hata Latin America imeiacha mbali sana pamoja na matatizo yao, yaani ukiangalia nchi kama Zambia, Tz, Chad, Niger, DRC linganisha na nchi kama Mexico, Peru, Argentina, Chile, Brazi, Bolivia, Colombia, Honduras? utaona gepu kubwa sana