$3 million luxury Camper 40' mobile mansion

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
11,897
Reaction score
6,933

Austrian company Marchi Mobile announces luxury mobile home Elemment Palazzo


High-class bar area


Luxurious sleeping quarters
 


Hizi mobile car nchi tajiri wanazipenda sana. Ni nyumba anayotembea nayo mtu kuhamia toka eneo moja hadi jingine. Canada inapokuwa baridi huyo na mobile truck yake anahamia ufukwe wa bahari ya Guff of Mexco, na pengine huvusha hadi visiwa vya Carubian. Wako makini sana na kufuatilia halii ya hewa. wakiona utabiri wa hali ya hewa unaonekana kuwa hatari sana sehemu waliko, hao wanaingia kwenye mobile na kuhamia sehemu nyingi.

Kipindi cha summer ambapo kunakuwa na hali nzuri ya hewa huko ukanda wa kaskazini basi hao wanarudi na mobile zao kaskazini, na hivyo siku, miaka inapita ndo maisha ya matajri yalivyo.

Wakati hayo yakiendelea, makampuni yao kazi mtindo mmoja na waajiriwa wao makazini wanavujishwa jasho kwa ajili ya kupata pesa za kuwastarehesha hivyo mabwana zao. Utwa na utwana kwa nchi tajiri sawa na maskini kumtumikia kafiori asiyemjua wala kumwona kwa macho, wafanyakazi wanakimbizana na mapresidenti, mameneja, masuparavisa na waajiri, tajiri hatii pua pale, ni jioni tu anatomasa vitufe kuangalia kilichoingai kwenye account yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…