2nd, 3rd na 4th batch, zitakuwepo kweli?

de98

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2017
Posts
737
Reaction score
760
Wajameni embu tusaidiane hivi ni kweli katika selection hizi zinazotoka katika vyuo mbali mbali je, kuna yeyote anayejua hizi higher learning institutions zitatoa 2nd batch ama ndio 1 st batch tu? Au ndio imekula kwetu hiyo?

Hebu tujulishane kwa yeyote anyejua kuhusu jambo hili
 
Sidhani kama itakuwepo Mdogo wangu toka asubuhi hajala,jina halijaonekana popote hata kwa bahati mbaya.Ngoja nimshauri aende Diploma tuu hakuna jinsi tena.
 
Sidhani kama itakuwepo Mdogo wangu toka asubuhi hajala,jina halijaonekana popote hata kwa bahati mbaya.Ngoja nimshauri aende Diploma tuu hakuna jinsi tena.
Diploma nao si waliisha maliza second round application
 
Kwenye taarifa ya habari TCU wamesema kuna 2nd selection ivyo kuweni wapole tusubirie vyuo vitangaze ni course gani azijajaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…