Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 37,107 Reaction score 55,524 Jul 7, 2024 #1 Awe na uzoefu wa kutumia 'software' yoyote ya 2D kutengeneza video ya katuni Awe na uwezo wa kutengeneza video ya masaa 10 kwa mwezi Awe na elimu yoyote kuanzia darasa la saba Malazi ni bure Ataanza na mshahara wa Tsh. 500,000/= Mwenye hizo sifa, tuwasiliane.
Awe na uzoefu wa kutumia 'software' yoyote ya 2D kutengeneza video ya katuni Awe na uwezo wa kutengeneza video ya masaa 10 kwa mwezi Awe na elimu yoyote kuanzia darasa la saba Malazi ni bure Ataanza na mshahara wa Tsh. 500,000/= Mwenye hizo sifa, tuwasiliane.
Rule L JF-Expert Member Joined May 31, 2020 Posts 2,158 Reaction score 3,419 Jul 7, 2024 #2 Kila lenye heri kwa mwenye uwezo
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 37,107 Reaction score 55,524 Jul 7, 2024 Thread starter #3 Black poison The Factor said: Kila lenye heri kwa mwenye uwezo Click to expand... Karibu mkuu, unaweza kujifunza taratibu hiyo fani nafasi bado zipo nyingi.
Black poison The Factor said: Kila lenye heri kwa mwenye uwezo Click to expand... Karibu mkuu, unaweza kujifunza taratibu hiyo fani nafasi bado zipo nyingi.
Rule L JF-Expert Member Joined May 31, 2020 Posts 2,158 Reaction score 3,419 Jul 7, 2024 #4 🙏🙏 nashukuru sana mkuu ila kwasasa Nina ratiba ngumu kidogo
Eng. Zezudu JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 8,357 Reaction score 12,305 Jul 7, 2024 #5 Du nilianza kujifunza kwa kutumia harmony lakini nikaishia njiani, nimekosa Fursa nje nje
whiteskunk JF-Expert Member Joined Jul 24, 2021 Posts 3,928 Reaction score 9,437 Jul 7, 2024 #6 Mi natengeneza 3d
Killa Cam JF-Expert Member Joined Jun 12, 2022 Posts 2,762 Reaction score 7,757 Jul 7, 2024 #7 Kuna siku nitaleta tangazo kama hili ila mimi nataka mtu anipe copyright(nanunua kabisa) bado naweka mambo flani sawa.
Kuna siku nitaleta tangazo kama hili ila mimi nataka mtu anipe copyright(nanunua kabisa) bado naweka mambo flani sawa.
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 37,107 Reaction score 55,524 Jul 7, 2024 Thread starter #8 whiteskunk said: Mi natengeneza 3d Click to expand... Si mbaya naweza kuona kazi zako
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 37,107 Reaction score 55,524 Jul 7, 2024 Thread starter #9 Eng. Zezudu said: Du nilianza kujifunza kwa kutumia harmony lakini nikaishia njiani, nimekosa Fursa nje nje Click to expand... Nafasi bado zipo, pambana ujue zaidi
Eng. Zezudu said: Du nilianza kujifunza kwa kutumia harmony lakini nikaishia njiani, nimekosa Fursa nje nje Click to expand... Nafasi bado zipo, pambana ujue zaidi
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 37,107 Reaction score 55,524 Jul 7, 2024 Thread starter #10 Killa Cam said: Kuna siku nitaleta tangazo kama hili ila mimi nataka mtu anipe copyright(nanunua kabisa) bado naweka mambo flani sawa. Click to expand... Kama nia ipo hakuna kinacho shindikana
Killa Cam said: Kuna siku nitaleta tangazo kama hili ila mimi nataka mtu anipe copyright(nanunua kabisa) bado naweka mambo flani sawa. Click to expand... Kama nia ipo hakuna kinacho shindikana
Fundi manyumba JF-Expert Member Joined Nov 25, 2018 Posts 3,799 Reaction score 8,103 Jul 7, 2024 #11 Mkuu kama wakiitaji na mtu wa sound over na video editing plas graphics nipo hapa... Kwa mshahara wa sawa na bure
Mkuu kama wakiitaji na mtu wa sound over na video editing plas graphics nipo hapa... Kwa mshahara wa sawa na bure
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 37,107 Reaction score 55,524 Jul 7, 2024 Thread starter #12 Fundi manyumba said: Mkuu kama wakiitaji na mtu wa sound over na video editing plas graphics nipo hapa... Kwa mshahara wa sawa na bure Click to expand... Sawa mkuu, ngoja tumpate huyu kiungo kwanza
Fundi manyumba said: Mkuu kama wakiitaji na mtu wa sound over na video editing plas graphics nipo hapa... Kwa mshahara wa sawa na bure Click to expand... Sawa mkuu, ngoja tumpate huyu kiungo kwanza
F Fundi CEO Senior Member Joined Nov 23, 2016 Posts 169 Reaction score 192 Jul 7, 2024 #13 Equation x said: Awe na uzoefu wa kutumia 'software' yoyote ya 2D kutengeneza video ya katuni Awe na uwezo wa kutengeneza video ya masaa 10 kwa mwezi Awe na elimu yoyote kuanzia darasa la saba Malazi ni bure Ataanza na mshahara wa Tsh. 500,000/= Mwenye hizo sifa, tuwasiliane. Click to expand... Mkuu una project Makini una I acceralate ?
Equation x said: Awe na uzoefu wa kutumia 'software' yoyote ya 2D kutengeneza video ya katuni Awe na uwezo wa kutengeneza video ya masaa 10 kwa mwezi Awe na elimu yoyote kuanzia darasa la saba Malazi ni bure Ataanza na mshahara wa Tsh. 500,000/= Mwenye hizo sifa, tuwasiliane. Click to expand... Mkuu una project Makini una I acceralate ?
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 37,107 Reaction score 55,524 Jul 7, 2024 Thread starter #14 Fundi CEO said: Mkuu una project Makini una I acceralate ? Click to expand... Inahusika na nini
F Fundi CEO Senior Member Joined Nov 23, 2016 Posts 169 Reaction score 192 Jul 7, 2024 #15 Equation x said: Inahusika na nini Click to expand... 2d animations?
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 37,107 Reaction score 55,524 Jul 7, 2024 Thread starter #16 Fundi CEO said: 2d animations? Click to expand... Namaanisha hii inahusika na nini ''I acceralate''
F Fundi CEO Senior Member Joined Nov 23, 2016 Posts 169 Reaction score 192 Jul 7, 2024 #17 Equation x said: Namaanisha hii inahusika na nini ''I acceralate'' Click to expand... Yani ni project endelevu?
Equation x said: Namaanisha hii inahusika na nini ''I acceralate'' Click to expand... Yani ni project endelevu?
F Fundi CEO Senior Member Joined Nov 23, 2016 Posts 169 Reaction score 192 Jul 7, 2024 #18 Mkuu uko Pande zipi niku Chekup. Au Nije PM
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 37,107 Reaction score 55,524 Jul 7, 2024 Thread starter #19 Fundi CEO said: Yani ni project endelevu? Click to expand... Ni endelevu, na inahitaji watu kama watano hivi
Fundi CEO said: Yani ni project endelevu? Click to expand... Ni endelevu, na inahitaji watu kama watano hivi
Fundi manyumba JF-Expert Member Joined Nov 25, 2018 Posts 3,799 Reaction score 8,103 Jul 7, 2024 #20 Equation x said: Sawa mkuu, ngoja tumpate huyu kiungo kwanza Click to expand... Haipingwi mkuu