25,000tsh kupata local channels startimes!??

Mimi tangu walivyoanza huu upuuzi sijalipia ni mwaka na zaidi na sasa wamenifungia hata hiyo TBC siipati kabisa limekaa hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona kama wanatuiobia sasa
 
What is so special kwenye hizo local channels? Mizengwe, vituko show,biko au tatu mzuka?
 
Hizo local channels mnaeza mkazi search tu kwenye Tv yako ukawa unazi check kama enzi zile! You just need an antenna! Bure kabisa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi huwa najiulizaga saana! Ivi kwa nini tulihamia digital na kuzima mitambo ya analogy kwa mbwembwe nyingiiii huku tukijua fika sio wa TZ wote watapata hizo FTA TV???.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ninatumia mojawapo wa Ving'amuzi ambavyo havionyeshi Local channels ambapo nimesita kulipa subscription fees ya mwezi unaofuata kwavile ninaamini wakishirikiana na TCRA Local channels zitarudishwa.Nadhani watumiaji wa ving'amuzi ambavyo havionyeshi Local channels tukiungana kwa alau wiki mbili DSTV, AZAM & ZUKU watarudi mezani na TCRA. Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…