Hii kitu ni mwisho....niliwahi kuiangalia nikiwa nasoma aisee nilifeli mitihan vibaya mpaka kufeli kule kumeniletea shida mpaka sasa ktk maisha yangu pengo hilo naliona kabisa
But all in all naipenda hii ki2 mpaka marafiki walifika hatua ya kuniita j.bauwer kwa kuipenda hii series....
By th way napenda sana sehem ile ambapo general JUMA alipo break whthouse na pale alipo mtia kibao madam presdent.pia naipenda sana ile part j.b alipo mteka logan ktk msafara wa magari ktk tunnel huku amevalia suit-shield