Rashda Zunde
JF-Expert Member
- May 28, 2022
- 297
- 285
Ukiskia 'Big Fat lie' ndohii sasa... inamaana kwenye kila watumishi 10 watumishi 7 wameongezwa mshahara kwa 23%???Serikali imesema nyongeza ya mishahara 23% iliyotangazwa mwaka huu 2022, inawalenga watumishi kati asilimia 75 hadi 78 wanaopokea mishahara midogo, na siyo wenye mishahara mikubwa kama vile Mawaziri, Makatibu Wakuu na Wakuu wa Mikoa.
Ufafanuzi huo umetolewa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo tarehe 29 Julai 2022 na kusema kwamba ni kweli kwamba 23% iliyotamkwa haijalipa watu wote na ni kwasababu wa kanuni inayotumika katika kutamka viwango vya mishahara na kinapotamkwa wanaonufaika si wote mpaka wa mishahara mikubwa, wanaonufaika ni wale wa kada ya chini.
Na huku juu kwa watumishi wenye mapato makubwa hawapati ile percentage (asilimia) ilivyo kwasababu ukiwalipa kwa ile 23 watakuwa wameenda mbali zaidi ya hawa wachini kwahiyo gap (nafasi) litakuwa kubwa zaidi.
Bora ukome kakaMdomo koma maana
Serikali imesema nyongeza ya mishahara 23% iliyotangazwa mwaka huu 2022, inawalenga watumishi kati asilimia 75 hadi 78 wanaopokea mishahara midogo, na siyo wenye mishahara mikubwa kama vile Mawaziri, Makatibu Wakuu na Wakuu wa Mikoa.
Ufafanuzi huo umetolewa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo tarehe 29 Julai 2022 na kusema kwamba ni kweli kwamba 23% iliyotamkwa haijalipa watu wote na ni kwasababu wa kanuni inayotumika katika kutamka viwango vya mishahara na kinapotamkwa wanaonufaika si wote mpaka wa mishahara mikubwa, wanaonufaika ni wale wa kada ya chini.
Na huku juu kwa watumishi wenye mapato makubwa hawapati ile percentage (asilimia) ilivyo kwasababu ukiwalipa kwa ile 23 watakuwa wameenda mbali zaidi ya hawa wachini kwahiyo gap (nafasi) litakuwa kubwa zaidi.
We are no longer fools you were used to lie to. Tutapambana hiyo keki tule sote, sio mtunyonye sisi wa chini.Serikali imesema nyongeza ya mishahara 23% iliyotangazwa mwaka huu 2022, inawalenga watumishi kati asilimia 75 hadi 78 wanaopokea mishahara midogo, na siyo wenye mishahara mikubwa kama vile Mawaziri, Makatibu Wakuu na Wakuu wa Mikoa.
Ufafanuzi huo umetolewa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo tarehe 29 Julai 2022 na kusema kwamba ni kweli kwamba 23% iliyotamkwa haijalipa watu wote na ni kwasababu wa kanuni inayotumika katika kutamka viwango vya mishahara na kinapotamkwa wanaonufaika si wote mpaka wa mishahara mikubwa, wanaonufaika ni wale wa kada ya chini.
Na huku juu kwa watumishi wenye mapato makubwa hawapati ile percentage (asilimia) ilivyo kwasababu ukiwalipa kwa ile 23 watakuwa wameenda mbali zaidi ya hawa wachini kwahiyo gap (nafasi) litakuwa kubwa zaidi.
Waache kaziHivi hajui kama kuna baadhi ya watumishi hawajapata kabisa hiyo nyongeza na ni miongoni mwa hao wa kima cha chini!
true!Ukiskia 'Big Fat lie' ndohii sasa... inamaana kwenye kila watumishi 10 watumishi 7 wameongezwa mshahara kwa 23%???
Kwanini kiongozi mkubwa unaongea uongo mkubwa hivi hadharani!!!
Naskitika hatuna waandishi mahiri wanaoweza kufuatilia na kuwajuza raia ukweli wanaishia kupublish matamko kama yalivyo.
Hata tucta hawan akili ya kufuatilia yasemwayo na viongozi waongo... kwa style hii Tz kuendelea ningumu mmmno ujinga upo viwango vyajuu sana