Kudate na vitoto vya shule kazi sana ...Nimekuta text "baby naomba 208"
baada ya kama nusu saa hivii ndo nikaja kuelewa alichomaanisha .. Eti "baby naomba tuonane"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]