Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,302
- 14,620
Wamenikela sana wale jamaa maana nilitoa ahadi hapa ya kuufyatua kabla ya January kuisha saa 00:00 usiku.Mjusi Sharobalo kaweka uzi wake wa single mothers usiku huu
Bila huruma mods wameufanya kuwa comment kwenye uzi mwingine
Weka mwingineWamenikela sana wale jamaa maana nilitoa ahadi hapa ya kuufyatua kabla ya January kuisha saa 00:00 usiku.
Kesho pombe zikinitoka kichwani nitacheki kwenye pc kama kuna article ya singo mazaz niirushe hewaniNatafuta Ajira unaitwa huku na wasimbe
Nimenuna mazima sipandishi uzi wowote wiki nzima kuanzia sasa.Weka mwingine
Bado una dakika 4
Watu tulishaubandika mida hii viranja sijui wamekula hela za single mother wakautupia dampo.Kesho pombe zikinitoka kichwani nitacheki kwenye pc kama kuna article ya singo mazaz niirushe hewani
Haha naona round hii masimp umewaacha wapumue kidgoKesho pombe zikinitoka kichwani nitacheki kwenye pc kama kuna article ya singo mazaz niirushe hewani
Valentine imekaribia eee. Tutakuwa kwenye maandaliz ya mfungo. Mwezi wa shabaani huu.Dakika 90 za January zimetimia sijaona thread za.masingle Maza humu
Naona hii 2026 tutapumua tuzae tena tuchambwe
2025 masingle Maza humuu tuliteswa jamani .ilikuwa hata kupanua miguu tunaogopa ukikumbuka matusi ya humu.
Huu mwaka kimyaaa
Sasa ngoja tuanze kukitembeza tena Kwa mababy dady tuje tuchambwe
AhaaaaMjusi Sharobalo kaweka uzi wake wa single mothers usiku huu
Bila huruma mods wameufanya kuwa comment kwenye uzi mwingine ๐
Ahaaa Acha noma mkuuKitambo nimeshabandika lichapat tayari lipo hewan linaelea.
Hawakuwa na bundle?Mwezi wa ada, kodi na mazaga umeisha. Subiri mpewe dozi kama kawaida.
Hata hivyo, single moms for single dads!! Au kwa sie wazee wa dead balls๐
MtuacheTuko na Samia .
Tuatwarudia.
Tutawafikia.
Njoo mkuuNimekuwahi. Nataka tuzae toto Moja lenye akili kubwa ifikiriayo nje ya box.
Au unasemaje.