Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,864
Wazee wa fursa.Nimekuwahi. Nataka tuzae toto Moja lenye akili kubwa ifikiriayo nje ya box.
Au unasemaje.
Yeah!Wazee wa fursa.
HushindwiNitahakikisha naikata furaha yako kabla ya mwezi kukatika saa 00:00 na uzi wa hovyo.
Lipia tangazo.Binafsi napenda San mwanamke single mother, enzi yangu yote jf siwahi kumsema single mother kwa namna yoyote ile.
Kitambo nimeshabandika lichapat tayari lipo hewan linaelea.Hushindwi
Usiulize we pigia mstariTangazo limekaa kimkakati sana
Natafuta Ajira unaitwa huku na wasimbeSubiri natafuta afikie huu uzi, atatembeza mkong’Oto mwezi kesho wote mpaka tuchukie valentines😂😂
Dakika 90 za January zimetimia sijaona thread za.masingle Maza humu
Naona hii 2026 tutapumua tuzae tena tuchambwe
2025 masingle Maza humuu tuliteswa jamani .ilikuwa hata kupanua miguu tunaogopa ukikumbuka matusi ya humu.
Huu mwaka kimyaaa
Sasa ngoja tuanze kukitembeza tena Kwa mababy dady tuje tuchambwe