2025 Watia nia wapimwe akili na kilevi

2025 Watia nia wapimwe akili na kilevi

SN.BARRY

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2012
Posts
4,051
Reaction score
9,004
Tazama video hiyo.
 
nadhani kichwa cha habari kiwe hivi, mwita waitara apimwe ni mtia nia mlevi.
Ha ha ha Mwita kasema ameshawaletea maendeleo Ukonga sasa kahamia Tarime vijijini. Nenda Ukonga sasa ukajionee hayo maendeleo utacheeeeka!

Mwita apimwe akili na kilevi sijui kwanini Covid haikumrestisha kipindi kile.
 
October mbali sana lolote laweza tokea, na covid inalenga sana watu wenye mabichwa makubwa
 
Back
Top Bottom