2025 kama siyo Majaliwa basi ni Januari Makamba

grace abel

Member
Nov 14, 2016
27
15
2025 kama siyo Majaliwa basi ni Januari Makamba:
upepo ukiendelee hivi na serikali ya Magufuli ikafanya mazuri basi Waziri Mkuu akichukua fomu anabeba Nchi. na ikitokea Magu na serikali yake wasipofanya vizuri..makamba atabeba Nchi..
hii itawezekana tu km makamba akiendelea kuwa relevant. uwaziri kwa makamba ni muhimu sana.

zingatia pia sasa ni jumapili lazima atakaye kuja ni ijumaa. ndo utaratibu wa chama
 
Naona kikundi cha watu wasiofikia mia wakijiaminisha kuwa ndio wana haki ya kuwatawala wengine zaidi ya milioni 48. Kibaya zaidi hawa zaidi ya 48,000,000 nao wameshajiaminisha kuwa ni kundoo wa hili kundi lisilofikia 100!
Inasikitisha kwa kiasi kikubwa lakini hakuna namna maana ushahidi ni matokeo ya Jumapili iliyopita.
 
Kassim Majaliwaaaaaaaa ndo next president, Makamba asubiriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Former PMs wote kwa TZ with the exception of JK Nyerere uRais wameishia kuuona kwa mbaaali. Kassim nae atafall kwenye shimo hilo. Not presidential material anyway..
 
Former PMs wote kwa TZ with the exception of JK Nyerere uRais wameishia kuuona kwa mbaaali. Kassim nae atafall kwenye shimo hilo. Not presidential material anyway..
kwanini..Majaliwa Mzuri sana.

kama siyo majaliwa basi makamba
 
Kassim Majaliwaaaaaaaa ndo next president, Makamba asubiriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Kumbuka pia kahistoria mbovu ya kuwa yeyote aliyekuwa waziri mkuu baada ya Nyerere hajawa rais pamoja na wote kuhitaji hiyo nafasi.
Salim Ahmed Salim,Malecela,Sumaye,Msuya,Lowassa n.k
 
Kumbuka pia kahistoria mbovu ya kuwa yeyote aliyekuwa waziri mkuu baada ya Nyerere hajawa rais pamoja na wote kuhitaji hiyo nafasi.
Salim Ahmed Salim,Malecela,Sumaye,Msuya,Lowassa n.k
history dont count anything
 
Back
Top Bottom