Upole utamgharim mama na Chama 2025Kama Samia hataki kugombea basi aendelee kuwachekea washindani wake eti demokrasia..
Magu keshawazoeza WaTzn kuendeshwa kama punda hapa ni kula kichwa kwa kila anaenyanyua mdomo awe ccm au chadema...
Acha uongo upinzani gani una vilaza?. Magufuri alimteua mwana CUF kuwa Katibu Mkuu wa CCM au umesahau. Kuna mawaziri na manaibu mawaziri wangapi wametokea upinzani?Kama Samia hataki kugombea basi aendelee kuwachekea washindani wake eti demokrasia..
Magu keshawazoeza WaTzn kuendeshwa kama punda hapa ni kula kichwa kwa kila anaenyanyua mdomo awe ccm au chadema...
Samia siyo mpole, ila ana akili kuliko lile fuvu la ChatoUpole utamgharim mama na Chama 2025
Acha uongo upinzani gani una vilaza?. Magufuri alimteua mwana CUF kuwa Katibu Mkuu wa CCM au umesahau. Kuna mawaziri na manaibu mawaziri wangapi wametokea upinzani?. Juzi hapa baada ya kufanya faulo kwenye uchaguzi wakaenda kuwachukua wanawake kumi na Tisa was upinzani na kuwaweka bungeni na kuahidi kuwalinda kwa gharama yeyote.
Mtajie hao vilaza na sababu za kuwabatiza ukilaza wao.We unaelewa mada kweli au unakurupuka tu? Ulipokuwa shule ndo ulivyokuwa unakurupuka kujibu maswali?
Chadema tukisusa si ndio vizuri ili mchukue nchi kiulaini?Mimi sio mbobez wa siasa ila ninachokiona kwenye Chama changu cha Mapinduzi kinajenga picha ya fukuto kubwa lililoko ndani ya chama
Mbowe kama una mshaur mzur 2025 usisusie uchaguz hata kama katiba mpya haitakuwa imepatikana...
Duuh.... Huu mwaka umekujia vibaya. Umeanza kwa stress hivi mwezi june utafika umekonda sana.Kama Samia hataki kugombea basi aendelee kuwachekea washindani wake eti demokrasia..
Magu keshawazoeza WaTzn kuendeshwa kama punda hapa ni kula kichwa kwa kila anaenyanyua mdomo awe ccm au chadema...
Kwa hiyo kina Lisu ndio wanaweza kuwa Rais? Lisu na Mwendazake Wana tofauti gani? Nani mgombea wa U Rais huko Upinzani?Acha uongo upinzani gani una vilaza?. Magufuri alimteua mwana CUF kuwa Katibu Mkuu wa CCM au umesahau. Kuna mawaziri na manaibu mawaziri wangapi wametokea upinzani?. Juzi hapa baada ya kufanya faulo kwenye uchaguzi wakaenda kuwachukua wanawake kumi na Tisa was upinzani na kuwaweka bungeni na kuahidi kuwalinda kwa gharama yeyote.
Akili yake haina akili, mjaa LAANA huyo.Acha uongo upinzani gani una vilaza?. Magufuri alimteua mwana CUF kuwa Katibu Mkuu wa CCM au umesahau. Kuna mawaziri na manaibu mawaziri wangapi wametokea upinzani?. Juzi hapa baada ya kufanya faulo kwenye uchaguzi wakaenda kuwachukua wanawake kumi na Tisa was upinzani na kuwaweka bungeni na kuahidi kuwalinda kwa gharama yeyote.
We mtu kama Lisu anaweza kuwa Rais?Akili yake haina akili, mjaa LAANA huyo.
Mtu yoyote alayekidhi vigezo vyakikatiba anaweza kua rais.usijifanye unajua sana watu.Kwa hiyo kina Lisu ndio wanaweza kuwa Rais? Lisu na Mwendazake Wana tofauti gani? Nani mgombea wa U Rais huko Upinzani?
Kwani kwa mfano kama wewe ni myanganyika mwenzangu ndio naweza kukushabikia? Sina upumbavu huo mimi wewe..Wewe unamshabikia Samia kwa vile ni Mzanzibari mwenzako,huna lolote
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Nani kilaza? Umeshampa madaraka ukaona alivyojasili! Mpe urais uone utofauti na ccm unsyoiabuduKama Samia hataki kugombea basi aendelee kuwachekea washindani wake eti demokrasia..
Magu keshawazoeza WaTzn kuendeshwa kama punda hapa ni kula kichwa kwa kila anaenyanyua mdomo awe ccm au chadema...
MaCCM yakifikaga kwenye uchaguzi yanakuwa pamoja kama Mashetani ya kisende[emoji1787][emoji23] No katiba no Uchaguzi. Wala Mbowe asiingie mkengeMimi sio mbobez wa siasa ila ninachokiona kwenye Chama changu cha Mapinduzi kinajenga picha ya fukuto kubwa lililoko ndani ya chama
Mbowe kama una mshaur mzur 2025 usisusie uchaguz hata kama katiba mpya haitakuwa imepatikana...
Huyo Lisu na Mwendazake kuna tofauti gani? Mda wa kufanyia majaribia Nchi na maisha yetu haupo.Hana sifa za kuwa Rais ila mpinzani na mwanaharakati..Nani kilaza? Umeshampa madaraka ukaona alivyojasili! Mpe urais uone utofauti na ccm unsyoiabudu
Ndio hivyo watumbatu tuko Ikulu unasemaje sasa
Upole utamgharim mama na Chama 2025