2025, CHADEMA mmetuandalia siasa gani?

2025, CHADEMA mmetuandalia siasa gani?

Dodoma Demand

Senior Member
Joined
Oct 6, 2021
Posts
130
Reaction score
74
Ni muda wa kuchunguza neno (Neno umasikini lilikotokea WAMETUANDALIA SIASA ZA NAMNA GANI KUELELEA 2025). Haiwezekani umaskini unaongezeka ilihali maisha yanaendelea kuboreshwa kwa haya yafuatayo:

1) Barabara zinazounganisha mikoa (TAYARI kwa asilimia 100%)

2) Umeme wa REA (TAYARI kwa asilimia 80% labda kubadili nguzo za Magogo kuwa za Zenge)

3) Ujenzi wa bandari (Ukilinganisha na MIZIGO iliyopo utajua TAYARI kwa asilimia 67% )

4) Ujenzi wa meli (TAYARI kwa asilimia 89 nyingi ni Renovation tu)

5)Nguvu kubwa ya kupeleka maji vijijini na uchimbaji wa visima vya kisasa (TAYARI kwa asilimia 89)

6) Elimu bure mpaka kidato cha 4 (TAYARI kwa asilimia 100)

7)TCU kuongeza kutoa ITHIBATI kwa vyuo vikuu vipya (TAYARI kwa asilimia 100%)

8) Kuongezeka kwa udahili wa wanafunzi wa elimu ya juu (TAYARI kwa asilimia 100%)

9) Kuongezwa kwa fedha bodi ya mikopo ya elimu ya juu(HESLB) (TAYARI kwa asilimia 100%)

10) Kufutwa tozo ya 6% ya wanufaika wa elimu ya juu (TAYARI kwa asilimia 90%)

11) Kupandishwa kwa madaraja WATUMISHI wa umma (TAYARI kwa asilimia 100%)

12) Kujengwa kwa SGR ((TAYARI kwa asilimia 90%)) ,BWAWA LA MWALIMU NYERERE ((TAYARI kwa asilimia 100%)),MADARAJA ,MADARAJA YA JUU((TAYARI kwa asilimia 90%))

Ni mengi mengi mengi mno.......

Mabeberu walioleta CHADEMA 1992 yawezekana wengi wamekufa karibuni GEIta, GEIta, GEIta

"NCHI IMEPATA MAENDELEO MWALIMU NYERERE INABIDI TUJE BUTIAMA KUKABITHI HAKUNA MAENDELEO YA MARAIS WENGI LABDA TANZANIA INA MODEL"
 
  • Thanks
Reactions: LGF
SGR gani hiyo iliyomakilika kwa asilimia zote hizo labda Kama unasemea phase ya dar to Moro...ila Kama ya kuja mpaka Dom asee bado bado mi mwenyewe nilikuwepo site toka August na September hiki kipande bado
 
Chadema wasimamishe kile kibabu kilichokuwa CAG kinachopiga kelele baada ya kutoka kwenye ulaji.

Maana ndio zao kuokoteza lose balls naona kamekuwa kashujaa kao kapya baada ya kigogo wa twitter 🤣🤣🤣
 
Na huo umeme wa rea sio kweli asilimia 80 haijafika....Kama uamini kaulizie singida nenda vijiji vilivopo barabara kuu kbs utakuta Giza nenda itaja,ngimu,pohama,misuna n.k....vingi tu hata njia ya msange bado Sana na Hapo Ni barabarani je Hali ipoje vilivopo ndani ndani
 
Halafu mbona kwenye ajira hujagusia asilimia ngapi ya wahitimu wa afya na engineer wamepatiwa ajira na hasa zile kozi ambazo kujiajiri Ni ngumu lazima uajiriwe na mamlaka za Serikali.
 
Ni muda wa kuchunguza neno (Neno umasikini lilikotokea WAMETUANDALIA SIASA ZA NAMNA GANI KUELELEA 2025). Haiwezekani umaskini unaongezeka ilihali maisha yanaendelea kuboreshwa kwa haya yafuatayo:

1) Barabara zinazounganisha mikoa (TAYARI kwa asilimia 100%)

2) Umeme wa REA (TAYARI kwa asilimia 80% labda kubadili nguzo za Magogo kuwa za Zenge)

3) Ujenzi wa bandari (Ukilinganisha na MIZIGO iliyopo utajua TAYARI kwa asilimia 67% )

4) Ujenzi wa meli (TAYARI kwa asilimia 89 nyingi ni Renovation tu)

5)Nguvu kubwa ya kupeleka maji vijijini na uchimbaji wa visima vya kisasa (TAYARI kwa asilimia 89)

6) Elimu bure mpaka kidato cha 4 (TAYARI kwa asilimia 100)

7)TCU kuongeza kutoa ITHIBATI kwa vyuo vikuu vipya (TAYARI kwa asilimia 100%)

8) Kuongezeka kwa udahili wa wanafunzi wa elimu ya juu (TAYARI kwa asilimia 100%)

9) Kuongezwa kwa fedha bodi ya mikopo ya elimu ya juu(HESLB) (TAYARI kwa asilimia 100%)

10) Kufutwa tozo ya 6% ya wanufaika wa elimu ya juu (TAYARI kwa asilimia 90%)

11) Kupandishwa kwa madaraja WATUMISHI wa umma (TAYARI kwa asilimia 100%)

12) Kujengwa kwa SGR ((TAYARI kwa asilimia 90%)) ,BWAWA LA MWALIMU NYERERE ((TAYARI kwa asilimia 100%)),MADARAJA ,MADARAJA YA JUU((TAYARI kwa asilimia 90%))

Ni mengi mengi mengi mno.......

Mabeberu walioleta CHADEMA 1992 yawezekana wengi wamekufa karibuni GEIta, GEIta, GEIta
Propaganda mfu..
Kama ni kweli usemayo kwa nini mnateka na kuiba Kura ili kushinda?
Kwa nini msiachie Sanduku la Kura kuamua washindi?!!!
 
Bwawa wa nyerere tayari kwa asilimia 100???????
Aiseeee napita huu Uzi km ifuatavyo maana umejaa porojo
 
Ni muda wa kuchunguza neno (Neno umasikini lilikotokea WAMETUANDALIA SIASA ZA NAMNA GANI KUELELEA 2025). Haiwezekani umaskini unaongezeka ilihali maisha yanaendelea kuboreshwa kwa haya yafuatayo:

1) Barabara zinazounganisha mikoa (TAYARI kwa asilimia 100%)

2) Umeme wa REA (TAYARI kwa asilimia 80% labda kubadili nguzo za Magogo kuwa za Zenge)

3) Ujenzi wa bandari (Ukilinganisha na MIZIGO iliyopo utajua TAYARI kwa asilimia 67% )

4) Ujenzi wa meli (TAYARI kwa asilimia 89 nyingi ni Renovation tu)

5)Nguvu kubwa ya kupeleka maji vijijini na uchimbaji wa visima vya kisasa (TAYARI kwa asilimia 89)

6) Elimu bure mpaka kidato cha 4 (TAYARI kwa asilimia 100)

7)TCU kuongeza kutoa ITHIBATI kwa vyuo vikuu vipya (TAYARI kwa asilimia 100%)

8) Kuongezeka kwa udahili wa wanafunzi wa elimu ya juu (TAYARI kwa asilimia 100%)

9) Kuongezwa kwa fedha bodi ya mikopo ya elimu ya juu(HESLB) (TAYARI kwa asilimia 100%)

10) Kufutwa tozo ya 6% ya wanufaika wa elimu ya juu (TAYARI kwa asilimia 90%)

11) Kupandishwa kwa madaraja WATUMISHI wa umma (TAYARI kwa asilimia 100%)

12) Kujengwa kwa SGR ((TAYARI kwa asilimia 90%)) ,BWAWA LA MWALIMU NYERERE ((TAYARI kwa asilimia 100%)),MADARAJA ,MADARAJA YA JUU((TAYARI kwa asilimia 90%))

Ni mengi mengi mengi mno.......

Mabeberu walioleta CHADEMA 1992 yawezekana wengi wamekufa karibuni GEIta, GEIta, GEIta
pamoja na yote hayo mliyofanya bado mnawazuia kufanya vikao vya ndani? bado mnawakamata na kuwapa kesi za kutunga!!
My take!!
Waruhusuni waanze kufanya vikao vya ndani na nje kama nyinyi mnavyofanya harafu ndo muone maana halisi ya" UPEPO WA MABADILIKO"
 
Chadema wasimamishe kile kibabu kilichokuwa CAG kinachopiga kelele baada ya kutoka kwenye ulaji.

Maana ndio zao kuokoteza lose balls naona kamekuwa kashujaa kao kapya baada ya kigogo wa twitter 🤣🤣🤣
Je Prof Assad ana hoja? Na kama ana hoja jarib kupangua hoja zake kwa hoja na sio huu upupu unaoonyesha hapa jukwaan!!
 
Watu wapo hoi bin taabani - maisha magumu biashara zinafungwa kila kukicha, tozo nazo usiseme !!
 
Jaman tuacheni kudemka tu, Tanzania hakuna upinzani tangu kikwete atoke madarakani ni chama kimoja tu. wapinzani wengejua hilo wange achana na siasa Bora wakafungua huduma za neno la Mungu makanisa na misikiti arafu Mungu ndo yeye pekee ange angusha milima Kama ule wa March 17 na nyingine inakuja tu.....

Alicho kifanya Magu ndo mama anakifanya.Na uzuri Mama hakuwa mnafiki alisema wazi bungeni kwamba " Magu na Samia Hawa watu ni kitu kimoja"

Kwamba alichokifanya magu na mama atakiendeleza. Na kweli kila kitu anakiendeleza.

Mfano, katiba mpya Magu alisema si kapaumbele, Mama nae kasema hivyo. Mikutano ya vyama vya siasa magu alizuia, kwenye uongozi wa Mama kila kukicha Police na wapinzani yaani utafikiri chakubanga ampiga mkoloni.

Tume huru ya uchaguzi hakuna ni ile ile ya Magu. 2025 watu wataunga mkono nchi nzima ccm n.k

Hivi kweli mtoa mada hapa unaona Chadema Kuna Cha kujipanga 2025???.
Nadhani wajipange kumuomba Mungu tu taratibu ataleta mabadiriko mwenyewe.

Kwani nyie humoni mabadiriko ya kimungu jaman mengi? Watu waliwekeza kununua wapinzani lakin safar hii wanawekeza kufundisha darasa la uongozi? Watu waliwekeza bao la mkono sasa HV wanawekeza kujikomba komba? Iko wapi Daresalaamaaaa ya Makonda!!!

Ngoja nipause kwanza.....
 
NGOJA NIKAE KIMYA MAANA TAFU SIRI IMEANZA KAZI SIJUI KAMA WAMEAJILIWA TAYARI
 
SGR gani hiyo iliyomakilika kwa asilimia zote hizo labda Kama unasemea phase ya dar to Moro...ila Kama ya kuja mpaka Dom asee bado bado mi mwenyewe nilikuwepo site toka August na September hiki kipande bado
NGUMI JAMAA ALIPIGWA TU BILA KUPUCH UKIPUNCH MGONJWA ----- Newsroom KUPELEKA HABARI BILA KUWA PRINTED ILI GAZETI LITOKE KWENYE JAMII.... AU WATANGAZE KWENYE RADIO
 
Hao tena wazee wa scripts subiria tuu, wanajua sana kutengeneza sakata linaloibua mihemko ya ghafla then haoooo wanategemea kushinda...usishangae wakamteua yeyote wa kutoka chama chochote ikibidi hata kwa kubadili gear angani.
 
Hao tena wazee wa scripts subiria tuu, wanajua sana kutengeneza sakata linaloibua mihemko ya ghafla then haoooo wanategemea kushinda...usishangae wakamteu yeyote wa kutoka chama chochote ikibidi hata kwa kubadili gear angani.
Newsroom KUPELEKA HABARI BILA KUWA PRINTED ILI GAZETI LITOKE KWENYE JAMII.... AU WATANGAZE KWENYE RADIO
 
Hao tena wazee wa scripts subiria tuu, wanajua sana kutengeneza sakata linaloibua mihemko ya ghafla then haoooo wanategemea kushinda...usishangae wakamteua yeyote wa kutoka chama chochote ikibidi hata kwa kubadili gear angani.
SIASA ZA JAMAA.... SIO KAZI HATA MIE NASUBIRI KUKAZIKA TU.... (KAFE
 
Back
Top Bottom