Professor of jungle
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 480
- 942
Miami kazingua sana, ila bucks wamekamilika sana playoff hii.Miami kalamba Nyingi tu Mbele ya Bucks![]()
Miami kazingua sana, ila bucks wamekamilika sana playoff hii.Miami kalamba Nyingi tu Mbele ya Bucks![]()
Great win..but when u r leading the game in last seconds why not call timeout instead of giving opportunity to Heat to foul Giannis for the free throws...??Miami kazingua sana, ila bucks wamekamilika sana playoff hii.


Nikola Jokic in this series:Jokic ni hatari





Kwa kipi mkuu? Labda kwa msaada wa refs kama kawaida yaoHiyo sidhani, binafsi Lakers nawapa ushindi in 6 vs Phoenix.
Vs Denver (second round) it will be a bit easy.
Ball Never lie Bro tuwe na subraaaKwa kipi mkuu? Labda kwa msaada wa refs kama kawaida yao

Jamaa waigizaji sana wa foul na refs nao wanajifanya hawaoni...Ball Never lie Bro tuwe na subraaa![]()
Kwa kipi mkuu? Labda kwa msaada wa refs kama kawaida yao
Hii sio argument ya kitaalam mkuuJamaa waigizaji sana wa foul na refs nao wanajifanya hawaoni...



HawanaWewe unaona Phoenix wana kipi cha kumtoa Lakers?
FT...Suns 100-92 laker...sas n 2-2Leo mtanange mkali kati ya lakers na phoenix sun
Wewe unaona Phoenix wana kipi cha kumtoa Lakers?
Narudia, Hawana 😅😅😅😅Hawana
Bro ni sahihi kbs.Mnaoipa bucks credit jiandaen kisaikolojiaa nets sio yakitoto kiivyo mnavyodhani
kwenye series inayofuata patawaka moto..