Alexism
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 3,423
- 2,046
Kumekuwepo migongano na sintofaham katika nafasi ya kugombea kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa siku na miaka mingi. Sababu za migongano hii ni kua Zanzibar imetengwa kwa takribani miaka 25 inaelekea bila kumpata kiongozi wa Muungano akitokea Zanzibar jambo ambalo linaifanya Zanzibar kuonekana kama koloni la bara. Kwa mwenendo huu umefanya ata baadhi ya Wazanzibar kukata tamaa na Muungano huku wengine wakitaka Muungano uvunjwe ili Zanzibar iwe huru au kuwepo utaratibu wakuongoza JMT kwa vipindi ili kuweza kudumisha Muungano.
Bila shaka watu hawa kweli wanasababu muhimu nani lazma ili lifanyike ili kunusuru Muungano ulioasisiwa na CCM. CCM mgombea wa kiti cha urais wa JMT atoke Zanzibar bila hivyo tuusahau Muungano na kila mtu achukua mzigo wake.