2020 Mgombea urais kupitia CCM anatoka Zanzibar

Alexism

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
3,423
2,045
Kumekuwepo migongano na sintofaham katika nafasi ya kugombea kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa siku na miaka mingi. Sababu za migongano hii ni kua Zanzibar imetengwa kwa takribani miaka 25 inaelekea bila kumpata kiongozi wa Muungano akitokea Zanzibar jambo ambalo linaifanya Zanzibar kuonekana kama koloni la bara. Kwa mwenendo huu umefanya ata baadhi ya Wazanzibar kukata tamaa na Muungano huku wengine wakitaka Muungano uvunjwe ili Zanzibar iwe huru au kuwepo utaratibu wakuongoza JMT kwa vipindi ili kuweza kudumisha Muungano.
Bila shaka watu hawa kweli wanasababu muhimu nani lazma ili lifanyike ili kunusuru Muungano ulioasisiwa na CCM. CCM mgombea wa kiti cha urais wa JMT atoke Zanzibar bila hivyo tuusahau Muungano na kila mtu achukua mzigo wake.
 
Ajenda ya Rambirambi Naona Imekufa!
Kilichobaki Sasa ni Ndoto Tu kwa Kwenda Mbele!
We ota tu!
 
Wazo zuri sana kama wakiruhusu na yule mkulima wa cheju mnyamwezi kugombea uraisi zbar tena ni mkristo mbona hizi ni nchi zetu wrote tu!
 
Ulishawahi kusikia waziri mkuu wa Uingereza kutoka Scotland?
Tangu Znzbar wafanye mabadiliko kwenye katiba yao na kusomeka "zanzibar ni nchi" haitatokea rais atokee huko
 
Kumekuwepo migongano na sintofaham katika nafasi ya kugombea kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa siku na miaka mingi. Sababu za migongano hii ni kua Zanzibar imetengwa kwa takribani miaka 25 inaelekea bila kumpata kiongozi wa Muungano akitokea Zanzibar jambo ambalo linaifanya Zanzibar kuonekana kama koloni la bara. Kwa mwenendo huu umefanya ata baadhi ya Wazanzibar kukata tamaa na Muungano huku wengine wakitaka Muungano uvunjwe ili Zanzibar iwe huru au kuwepo utaratibu wakuongoza JMT kwa vipindi ili kuweza kudumisha Muungano.
Bila shaka watu hawa kweli wanasababu muhimu nani lazma ili lifanyike ili kunusuru Muungano ulioasisiwa na CCM. CCM mgombea wa kiti cha urais wa JMT atoke Zanzibar bila hivyo tuusahau Muungano na kila mtu achukua mzigo wake.
Wazanzibari "wakarimu" sana, hawaiwezi Tamganyika. 2020 JPM anatosha, watz tushampa kura zetu isipokuwa bavicha ambao hawafiki laki.
 
2020 CCM hata isimamishe mgombea toka Mbinguni haitakubalika kama ilivyo kataliwa 2015 lakini yakatumika yale mazingaombwe ya Lubuva. Ila 2020 mazingaombwe hayana nafasi tena
"ndo wanavyosema" kwa sauti ya mwana fa
 
Haiwezekani miaka 25 yote hamna kua na kiongozi wa JMT kutoka Zanzibar basi huu sio Muungano labda mseme huu ni ukoloni mamboleo 2020 mgombea kiti cha urais CCM atoke Zanzibar
 
Ajenda ya Rambirambi Naona Imekufa!
Kilichobaki Sasa ni Ndoto Tu kwa Kwenda Mbele!
We ota tu!
Anzisha mada mkuu kuhusu rambi rambi uone wachangiaji ila hii inahusu mgombea urais kwa tiketi ya ccm atoke Zanzibar ili kudumisha Muungano wetu
 
"Na sisi WALUGURU hatujawahi kutoa mgombea wa urais safari nasi tunataka tupendekezwe la sivyo tunaunda Jamhuri yetu"... sasa kila jamii ikifanya hivi tutafika wapi?
 
Kwani Zanzibar ni jamii au sehemu ya Muungano mkuu...2020 mgombea kiti cha urais CCM atoke Zanzibar tumechoka na mambo ya ugombea mwenza. ..Ili wote tunufaike na Muungano bila kufanya hivyo basi Muungano kwaheri kila mtu abebe mzigo wake
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom