Uchaguzi 2020 2020 Elections Chapter sasa imefungwa. Kazi ya ujenzi wa Taifa iendelee!

Mkuu,unaishi Dunia gani!? Hivi hujui waandishi wangapi wamepotea hawajulikani walipo?!

Unajifanya kupoteza fahamu, hutaki kukubali ukweli,.. ukweli maisha yote hushinda uongo,msema kweli ni mpenzi wa Mungu..

Jidanganye hivyo hivyo iko Siku utajua na kukubali ukweli..
Kinachowashinda wewe na wengine wanaoleta hoja mfu, ni kushindwa kuleta ushahidi. Huwezi kusema mtu fulani mwizi na hujamshika na mali yoyote ya wizi. Ingependeza kama ungeleta ushahidi kama mtumishi wa serikali au kiongozi yoyote yule amehusika aidha kwa kutoa amri au yeye mwenyewe kuhusika moja kwa moja na upoteaji wa wanahabari, ungeweza kueleweka. Na ndio hivi hivi upinzani mnapenda kutangaza uwongo na watu wengine ishia kuamini kama maneno ya kweli. Umesema mwenyewe, msema kweli ni mpenzi wa Mungu, basi na nyinyi mseme ukweli.
 
Nani mwenye hamu ya kujenga taifa baada kuumizwa? Wakati walio wengi wanaugulia maumivu muliowapa unakuja na stori za kujanga taifa? Watu wako mahabusu, kuna walio tekwa, kuna waliouawa, kuna waliobambikizwa kesi...unamwambia nani akajenge taifa? Taifa ambalo walio wengi wanajiona hawana haki nalo! Mmetuumiza kiasi hiki halafu na matusi na kejeli juu! Makae mkijuwa kwamba nyinyi ni viumbe tu kama sisi. Kuna alietuzidi nguvu na ndie hakimu wa kila jambo!

There’ll always be free riders. Feel free to be one of them. Ambao tuna mapenzi ya dhati na taifa letu na tuna uwezo wa kufanya kazi, tutalijenga kwa mapenzi yote!
 
Andiko kutoka kwa PhD holder wa utopolo! Yamebaki kulamba makalio ya John! Kazi kweli kweli!

Ninawajua vizuri sana blind followers wa Chama Cha Demokrasia ya Matusi (Chadema). Yaani hapo ndiyo umefikiria mpaka ukafikia ukomo wako wa kufikiria.

Kwa kweli mnahitaji kuombewa!
 
Back
Top Bottom