Nice lyrics , pure rapperHaiuzwi kwa under 18 muda usije ukamponza mtoto, kama upo kwenye dozi kunywa hata soda ndogo.
Mdodo mdogo sio kreti libaki empty, utajikuta bwaba mdogo ume-lost imebaki chenchi.
Ukaleta tu madrama kutapika ni upimbi, kama tulisema tule nyama we ukapiga magimbi.
ukalainisha na mtindi ukadai haipiti kooni ukaleta ugomvi ukachapika kwa mlinzi.
Pombe nzuri huenda na mangoma kwenye hewa, warembo wakali nyama choma ka ngekewa.....Kama ulikuja kawaida sa umeanza kuona kila waiter ni mzuri nenda home ushalewa
Yaani kwa beki ipi ya kumzuia Luis,Chama,bocco,kagere asifunge?? Kibwana,Lamine,Ninja aliyekuwa anapinduliwa na Zana,boxer hahahah mamaaa utopolo mtayaoga mpk muwe wekunduKutokana na usajili unaofanyika kwenye timu zetu, Simba Kuna mechi itafungwa magoli 5-1 na Yanga msimu ujao. Moderator tafadhali utunze pazuri huu uzi kwaajili ya matumizi ya baadae.
Vigezo nilivyotumia kufikia utabiri huu Ni kuwaangalia Kagere, Boko, Mkude, Kapombe, Nyoni, Wawa ambao Ni wazee Sana lakini pia hawana jipya.
Nawaangalia pia akina ndemla, shabalala, kamagi, HD, Ajibu, Hawa nao Ni walewale waliosumbukiwa na Mbao, Kagera, Mtibwa, mwadui na Yanga mbovu iliyokuwa na misukosuko mingi msimu uliopita. size yao wachezaji hawa walikuwa akina Ali Ali, Ali Mtoni, Ngassa, Shabanii, na Molinga waliondoka.
Siwaoni wachezaji wa Simba watakaoweza kushindana na akina Nondo, Moro, Mauya, Yacoub, Sarpong, Balama, Tusilla, Mukoko, Ninja, Wazir Jr, Niyonzima, Toto, Farid, ....
Wale wazee wa Simba wakikanyagwa kwenye mechi na Ruvu shorting na Ihefu kwenye viwanja vibovu majeraha yao yatawaweka nje robo ya msimu kwa uzee.
Samahani jamani kwa utabiri huu kwa wale nitakao wakwaza.
Nadhani kuna mshtuko fulani umeupata baada ya kuona kikosi cha leo, umeshindwa kuvumilia ukaamua kujipooza kwa kuanzisha uziKutokana na usajili unaofanyika kwenye timu zetu, Simba Kuna mechi itafungwa magoli 5-1 na Yanga msimu ujao. Moderator tafadhali utunze pazuri huu uzi kwaajili ya matumizi ya baadae.
Anahofu moyoni mwake..ni kama amegongwa na kitu chenye ncha kali...Nadhani kuna mshtuko fulani umeupata baada ya kuona kikosi cha leo, umeshindwa kuvumilia ukaamua kujipooza kwa kuanzisha uzi
This should be dedicated to S.O.N.G.ANice lyrics , pure rapper
Underrated thoughThis should be dedicated to S.O.N.G.A
Simba pamoja na kuwa na kikosi kipana chenye matunzo mazuri waliokaa pamoja kwa muda mrefu, lakini ilihangaishwa na kikosi cha wachezaji wa kuungaunga na kuanikiza juani wenye njaa wa Yanga hadi pale marefa na TFF walipookoa jahazi.Sijaona mshambuliaji wa kumpita Onyango na Amne bado Wawa anasubiri, tuna Bwalya, Chama, Fraga, Mugalu, Kagere huo ushindi unapata ndoto
ww unafuatilia kweli michezo ww au unakurupuka unajua kwann simba wamecheza na vital O? uponyuma sana ww?Vital O sio kipimo kizuri Cha kupimia uzuri wa kikosi, maana waliokuwa nafasi ya 6 kwenye ligi yao, hawana tofauti kubwa na Ruvu shooting
Wacha bangi na mirungi chagua kimojaKutokana na usajili unaofanyika kwenye timu zetu, Simba Kuna mechi itafungwa magoli 5-1 na Yanga msimu ujao. Moderator tafadhali utunze pazuri huu uzi kwaajili ya matumizi ya baadae.
Vigezo nilivyotumia kufikia utabiri huu Ni kuwaangalia Kagere, Boko, Mkude, Kapombe, Nyoni, Wawa ambao Ni wazee Sana lakini pia hawana jipya.
Nawaangalia pia akina ndemla, shabalala, kamagi, HD, Ajibu, Hawa nao Ni walewale waliosumbukiwa na Mbao, Kagera, Mtibwa, mwadui na Yanga mbovu iliyokuwa na misukosuko mingi msimu uliopita. size yao wachezaji hawa walikuwa akina Ali Ali, Ali Mtoni, Ngassa, Shabanii, na Molinga waliondoka.
Siwaoni wachezaji wa Simba watakaoweza kushindana na akina Nondo, Moro, Mauya, Yacoub, Sarpong, Balama, Tusilla, Mukoko, Ninja, Wazir Jr, Niyonzima, Toto, Farid, ....
Wale wazee wa Simba wakikanyagwa kwenye mechi na Ruvu shorting na Ihefu kwenye viwanja vibovu majeraha yao yatawaweka nje robo ya msimu kwa uzee.
Samahani jamani kwa utabiri huu kwa wale nitakao wakwaza.
Mtateseka sana na kubaki kutoa visibgizio kama sio simba kucheza na vita msingewaona hao wachezaji, kama sio simba kuwaalika asante kotoka msingeona wachezaji , kama sio simba kucheza na sevilla msingetafuta ushirikiano nao hii inaonyesha kila simba anachofanya mnaiga hamna jipyaSimba pamoja na kuwa na kikosi kipana chenye matunzo mazuri waliokaa pamoja kwa muda mrefu, lakini ilihangaishwa na kikosi cha wachezaji wa kuungaunga na kuanikiza juani wenye njaa wa Yanga hadi pale marefa na TFF walipookoa jahazi.
Walihangaika na akina Ngasa, Yirpe, Ali Mtoni, Ali Ali, Molinga na Morrison. Sasa Yanga Ina wachezaji wa ukweli wasio na njaa wakiwemo akina Mukoko, Tuisila, Yacoub Sarpong, fei,kaseke, nondo, Waziri, Balama, Ninja kule, Lamine huku, Mustafa hapa, Farid,,,,. Najua hata wewe una hofu na Yanga ya msimu huu Ila unajitutumua tu hapa. Yanga hii sio Kama Yanga ileee