BABA E's
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 354
- 135
Hii habari ya hapa kazi tu kuna wengine imewashinda. Tuishio Kimara ni zaidi ya wiki sasa hatuna maji bila taarifa yoyote. Umeme nao ni kero, ukiripoti tatizo siku itaisha bila tanesco kulifanyia kazi. Sasa nauliza hii HAPA KAZI TU kwa hawa jamaa nayo ipo likizo ya christmas na mwaka mpya au tuelewe vipi.