2015

Taifa ni bora kuliko chama,hivyo taifa,jimbo au kata yako ni bora kuliko chama chako!
 
Usiwe tayari kuuza kura yakoa au kumpa mtu wa chama ikiwa hana uwezo!
 
Kura ni maisha yako na uamuzi wako juu ya mali asili na uhai wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…