iArmaniAdamson
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 944
- 287
Hivi nyie UKAWA hamjielewi, mnapigana na CCM jina au CCM mfumo?
Kama kweli mnapigana na Mfumo wa CCM, kwanini mmewapa EL na FS usukani wa Meli yenu? Mnategemea mtafika kweli huko mnako kwenda?
UKIANGALIA ex-CCM members wote wamekuja kwasababu WALIKATALIWA ndani ya CCM kwa shutuma na tuhuma mbalimbali.
Sasa leo hii ninyi wenyewe mmewakumbatia, wamefika tu HAPO mkawapa na USUKANI wa Meli yenu.
Aisee mjue mmejiharibia sana, mtu yeyote anayekumbatia hawa jamaa waliohamia huko kutoka CCM na kusema "HAMNA LOLOTE LA KUPOTEZA INA MAANA YAKE KAMWE HAMKUWA NA LOLOTE".