2015 Mpeni nchi Profesa LIPUMBA.

2015 Mpeni nchi Profesa LIPUMBA.

Vijisenti

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2011
Posts
544
Reaction score
330
Kama mnataka kuwa na mtu makini atakayewaletea maendeleo
basi Profesa Ibrahim Haruna Lipumba ndiye chaguo sahihi, msifanye
makosa huyo ndiye msomi atakayeikoa nchi hii kiuchumi.

Tuache makundi, tuache utani, tuache chuki LIPUMBA ndiye
chaguo sahihi.
NAWASILISHA.
 
Huna jipya mkuu, kuna kitu unakificha kwa hiyo promo yako
 
Hana jipya, zaidi ya kukariri theories za uchumi.
 
Huna jipya mkuu, kuna kitu unakificha kwa hiyo promo yako
Hakuna kitu kinafichwa zaidi ya kutaka watanzania
waachane na siasa za majitaka na kumweka mtu anayestahili.
 
Kama mnataka kuwa na mtu makini atakayewaletea maendeleo
basi Profesa Ibrahim Haruna Lipumba ndiye chaguo sahihi, msifanye
makosa huyo ndiye msomi atakayeikoa nchi hii kiuchumi.

Tuache makundi, tuache utani, tuache chuki LIPUMBA ndiye
chaguo sahihi.
NAWASILISHA.
Si ajabu wewe ndo Haruna mwenyewe ushaanza kuchonga barabara kwa ajili ya 2015
 
Kama mnataka kuwa na mtu makini atakayewaletea maendeleo
basi Profesa Ibrahim Haruna Lipumba ndiye chaguo sahihi, msifanye
makosa huyo ndiye msomi atakayeikoa nchi hii kiuchumi.

Tuache makundi, tuache utani, tuache chuki LIPUMBA ndiye
chaguo sahihi.
NAWASILISHA.

Swahihi! Prof.Lipumba ndio Rais 2015 ! Magwanda wanabisha kwasababu kule disco siku kama yaleo kila wiki wamefundishwa peoplez power.!Atakayakwenda kinyume atatengwa! Siunakumbuka kule kwa Mh.Pinda kuna watu walimpigia kura JK na Pinda wakatimuliwa! Jamani hawa Magwanda mtandao wao unaanzia hukoo c.....hhh!
 
Angeshauri vizuri serikali kuhusiana na maswala mazima ya uchumi lakini hawamtumii kuhusu urais cdhan...........
 
Ni mara ngapi anagombea anashindwa? Umetumwa kupima upepo? Anataka kugombea tena 2015? Mmmmmmm!!!! nuksi!!!!
 
Sijui kwanini wafuasi wa lipumba humpamba kwa hoja moja tu eti ni msomi hv wasomi wako wangapi nchi hii? Lipumba mwenyewe ana uhakika kuwa hawezi kuwa rais wa TZ lkn sielewi ni kwanini aendelee kuung'ang'ania!?
 
Jamani alikuwa economic adviser wa Mzee Ruksa. Tulipiga hatua eti ?
 
iv lipumba ni uamsho?, au unatema mapovu yako tu..
 
Na Zanzibar wampe UAMSHO Seif, teh teh teh, Tanzania kuwa Jamhuri ya kiislamu, wanawake wote kujifunika mashuka
 
ishu si shule mkuu.lipumba ndo walewale.tunaitaji dicteta mmoja ainyoshe hii nchi kwanza.
 
aliondoka ili cuf ife, haikufa. sasa anataka kurudi aiue kwa mikono yake! cuf kataeni mtu huyo
 
Back
Top Bottom