Mtende
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 6,385
- 7,335
haya wadau,mwaka ndo umeanza na mamuvi yashaanza kutolewa, hebu tupieni hapo movies ili wale wapenzi wa movie kama mimi waweze kufaidi, kiukweli mimi huwa napata ari ya kudownload movie kama nikisimuliwa na mtu ambaye ameiangalia, yani mtu akiniambi muvi ni nzuri basi lazima nidowload, otherwise hapana, sasa hebu nipeni ari basi ambao wameshaanza kuangali njooni tupeni comments hapa ili nasie tudownload
mimi napenda sana movie za action, ila unaruhusiwa kuweka movie yoyote bila kujali maana watu tunatofautiana
karibuni
cc BAK,
mimi napenda sana movie za action, ila unaruhusiwa kuweka movie yoyote bila kujali maana watu tunatofautiana
karibuni
cc BAK,
Last edited by a moderator: